Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bu
kabisaaa,kama kawaida wamechimba chini[emoji23][emoji23][emoji23]
but remember those are projects not anywhere near nairobi meaning soon we will have towns as big as nairobi then all attention to shift from nairobi to new places leading to an equal distribution of development throught kenya
 
kenya on the ground is very far away from tanzania wacha maneno ya online where you shout the loudest wins but in reality we all know the truth and am sure deep down in your heart unajua ukweli kenya iko mbele its jut that you have to supoort your country
Acha maneno ya uongo umewahi kufika tz wewe.?
 
bu

but remember those are projects not anywhere near nairobi meaning soon we will have towns as big as nairobi then all attention to shift from nairobi to new places leading to an equal distribution of development throught kenya
ni mambo ya kawaida
 
kenya on the ground is very far away from tanzania wacha maneno ya online where you shout the loudest wins but in reality we all know the truth and am sure deep down in your heart unajua ukweli kenya iko mbele its jut that you have to supoort your country

How can one talk of development when one of his own is dying of hunger?

How can you be borrowing money for construction of interchange when the country faces chronic food shortage?

When you don't have enough to eat, when people are starving - that means: you are way too far from development.

Get enough to eat first, then eat well. Only when you are full, we can then talk about development.
 
vipo vingi saaana wacha ujinga unao postiwa humu
hakuna mzee masakuu,,
narudia tena hakuna kitu soecial kwa hapo nairobi ,
haturopoki tumeishi na tunaijua nairobi,watanzania tulio humu hatuiongelei nairobi ya picha tunaielezea nairobi in reality life kwa ground na siyo kuleta pang'ang'a

soon naweza kupata fursa ya kuja tena huko,muoneni mkenya mwenzenu huyo wakulia jinsi alivyovaa bwanga
IMG_20211027_015615.jpg
 
Kenya mnaunganisha vyama kikabila kila uchaguzi, ili muendeleze "demokrasia" ya makabila makubwa mawili kuongoza. Hiyo unaiongeleaje?
Kenya bila makabila makabila 42 sio kenya mzee, bila mikoa minane vile vile haitakua kenya, bila ya counties 47 sio kenya mzee bila constituencies mia mbili na usheee bado sio kenya..
Kwhyo politics zisikufanye uone kenya kuna ukabila bali ni strategy za kushinda...

If you can't beat them.......?
 
That is "tribalism" go and check the definition of "tribalism". Kenya is one among countries affected heavily by tribalism, I expect almost all Kenya know what tribalism is, what are the key indicators of tribalism and it's characteristics.
Na voting kutokana na chama tuiteje, uzezetazim sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ama pumbazim
 
That is "tribalism" go and check the definition of "tribalism". Kenya is one among countries affected heavily by tribalism, I expect almost all Kenya know what tribalism is, what are the key indicators of tribalism and it's characteristics.
Hayo makabila ndio yameunda kenya, kwhyo njoo kipya[emoji1787][emoji1787]
 
we hujatembea,
kwa hapa tz kwa kwa upande wa raia hakuna mtu mwenye time ya roho mbaya kwa mkenya usijidanganye hata siku moja,
hili jukwaa lisikufanye upagawe na ukalinganisha na maisha ya uraiani
hapa tunapeana makavu tu,mtaani kuna maisha mengine tofauti

na in reality kitabia baina ya mtanzania na mkenya ni tofauti na kwa upande wa ukarimu na busara Tanzania ndiyo mahala pake ,wakenya mpo na tabia mbovu
Acha uongo mzee, jamaa mpkani wanasumbuliwa hadi mwisho wanatumia panya kupitisha watoto ili kuepusha usumbufu
 
tatizo mnajenga interchange kwa kiwango chenye low quality,kwanin mchimbe wakati design ya moja kwa moja pasipo kuchimba chimba chini inawezekana,,au mnakwepa gharama
Nani kakwambia kuchimba ni low quality[emoji1787][emoji1787]
Haya twambie injinia
 
hakuna mzee masakuu,,
narudia tena hakuna kitu soecial kwa hapo nairobi ,
haturopoki tumeishi na tunaijua nairobi,watanzania tulio humu hatuiongelei nairobi ya picha tunaielezea nairobi in reality life kwa ground na siyo kuleta pang'ang'a

soon naweza kupata fursa ya kuja tena huko,muoneni mkenya mwenzenu huyo wakulia jinsi alivyovaa bwangaView attachment 1987845
Umevaa kiatu ya mtush unakuja kuturingia hapa, pole snaa
 
Back
Top Bottom