komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Naona umepiga picha KICC ndio ukawaringishie wenzio km kweli ulikua nai na uwhahidi unaohakuna mzee masakuu,,
narudia tena hakuna kitu soecial kwa hapo nairobi ,
haturopoki tumeishi na tunaijua nairobi,watanzania tulio humu hatuiongelei nairobi ya picha tunaielezea nairobi in reality life kwa ground na siyo kuleta pang'ang'a
soon naweza kupata fursa ya kuja tena huko,muoneni mkenya mwenzenu huyo wakulia jinsi alivyovaa bwangaView attachment 1987845



