The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwanza tangu lini Kenya ikaizidi Tanzania kwenye electrification.hii ilishawah kuletwa humu na tukaijadili na imeonekana ni uongo
1. Rwanda kuna reli yoyote? hizo 3,300km ni za rwanda ipi?
Kwanza tangu lini Kenya ikaizidi Tanzania kwenye electrification.hii ilishawah kuletwa humu na tukaijadili na imeonekana ni uongo
1. Rwanda kuna reli yoyote? hizo 3,300km ni za rwanda ipi?
Kitu kilicho wazi ni kwamba labda wamebadili strategic zao...Hata mimi ndio najiuliza. Pengine wanatuogopa. Wanajua sisi huwa tunafungua vichwa vyao na marisasi.
✅✅✅Good student at map work,mm ni mtaalam wa hii kitu mkuu.umepatia.😃😃Photo Interpretation , Geography 101.
1. From the Photo we can tell the Standard of Public Transport in this area, More importantly the Mud and dust on the Bus also tell us a lot about the road quality and conditions.
2. The photo is a close up view taken in the noon between 12:00-13:00 as depicted by the shadow of the Bus.
3. Conclusion, From the Huge lock on the rear exit of the bus like a lock from the Mangi Shop tells us that, Originally a cargo vehicle which was converted to PSV is now officially back to Cargos. The lock is to protect shippers cargos and Parcels.
[emoji1787]Hivi ndio tulipataga Misonge ( Banda) ya Necta Jog[emoji1787]J/K
[emoji736][emoji736][emoji736]Good student at map work,mm ni mtaalam wa hii kitu mkuu.umepatia.[emoji2][emoji2]
Lazima wamebadili manaake huku wanakula copper sana.Kitu kilicho wazi ni kwamba labda wamebadili strategic zao...
Acha mihemeko, jifunze kwanza kusoma na kuelewa kabla ya kujibu.Wewe nadhani una kichaa si bure, wewe nenda kapimwe. Kwa hivyo huna tatizo Wamarekani wasipomchagua rais mwanamke na wamechagua rais wanaume pekee kwa miaka zaidi ya mia mbili ila una tatizo kwamba Wakenya wamechagua rais kutoka kabila mbili kwa miaka chini ya sitini? Why are you contradicting yourself?
Mkunya ni MTU muongo Sana 🙂Kwahiyo Rwanda iko sawa na nyie kwenye railway network [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Boss wachana na mambo ya Hillary. Mimi siongei kuhusu 2016 pekee mimi naongea kuhusu miaka mia mbili ya demokrasia huko Marekani ni vipi baada ya miaka mia mbili marekani bado haijawahi kumchagua mwanamke na wewe bado unaamini kwamba marekani ni demokrasia. Mbaya zaidi Tanzania pia haijawahi kumchagua rais mwanamke katika historia nzima ya Tanzania. So hio pia ina maana kwamba Tanzania haina demokrasia kwa sababu hamjachagua rais mwanamke ilhali wanawake ni zaidi ya 50% ya population yenu? Huyu mama wa sasa hajachaguliwa debeni kuwa rais na wananchi. Yeye alichaguliwa kuwa makamu wa Magufuli. Hata nyingi hamna demokrasia maana hamjawahi kumchagua mwanamke kuwa rais.Acha mihemeko, jifunze kwanza kusoma na kuelewa kabla ya kujibu.
Nimekuambia demokrasia ya electoral college ina matatizo. Siyo hivyo tuu pia wana kitu kinaitwa gerry mandering, nayo siyo demokrasia.
Kuhusu mwanamke, nimekwambia sababu za Hillary kushindwa. Dems walimfanyia hila Bernie ili awe (Hillary) nominated. Kwa hasira, wafuasi wa Benie kumpigia kura Trump.
Sasa nani hapa mwenye matatizo ya akili?
Eneo kubwa bado ni pori.Amazing Nairobi... Pangani affordable housing project,
![]()
![]()
Pori kushoto kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ooohh Nairobi.......
![]()
.....ungehoji kwa nini wanawake hawakuruhusiwa kupiga kura, mpaka 1920. Wakati huo wanaume weusi, waliokuwa watumwa, walikuwa wakipiga kura, lakini siyo kuleta hoja ya kwa nini hajachaguliwa rais mwanamke. Hujui kuwa wagombea wanawake wamekuwepo ila wamekuwa wakishindwa kwenye primaries, isipokuwa Hillary aliyelazimisha?Boss wachana na mambo ya Hillary. Mimi siongei kuhusu 2016 pekee mimi naongea kuhusu miaka mia mbili ya demokrasia huko Marekani ni vipi baada ya miaka mia mbili marekani bado haijawahi kumchagua mwanamke na wewe bado unaamini kwamba marekani ni demokrasia.
Ni nini kinakufanya uamini kuchaguliwa mwanamke ndiyo kunaifanya demokrasia kuwa kweli?Mbaya zaidi Tanzania pia haijawahi kumchagua rais mwanamke katika historia nzima ya Tanzania. So hio pia ina maana kwamba Tanzania haina demokrasia kwa sababu hamjachagua rais mwanamke ilhali wanawake ni zaidi ya 50% ya population yenu?
Kwa akili zako hizi, kesho utakuja kusema demokrasia ni kuwa na rais transgender.Huyu mama wa sasa hajachaguliwa debeni kuwa rais na wananchi. Yeye alichaguliwa kuwa makamu wa Magufuli. Hata nyingi hamna demokrasia maana hamjawahi kumchagua mwanamke kuwa rais.
Hakupata nafasi kwakuwa demokrasia ya wakikuyu ilimchagua atangulie mbele ya haki.Nataka unieleze ni lini George Saitoti amewahi kugombea Urais? Ni lini jina lake limewahi kuwa kwenye kura ya urais? Mwaka gani Saitoti aligombea urais hebu tueleze sisi wajinga tusioelewa haya mambo?
Wewe unanishangaza sana ujue. Yaani upo sawa Wamarekani wakikataa kuwachagua wanawake na unasema tu vizuri kwamba hio ni demokrasia. Ila huku Kenya Wakenya wapiga kura wakikataa kuchagua watu kutoka kabila ndogo ndogo kuwa rais unasema kwamba hakuna demokrasia Kenya? Vipi hueleweki msimamo wako. Kwa hivyo Wamarekani wana haki ya kuwakataa wanawake ila Wakenya hawana haki ya kuwakataa wawaniaji urais kutoka kabila ndogo? Unajicontradict......ungehoji kwa nini wanawake hawakuruhusiwa kupiga kura, mpaka 1920. Wakati huo wanaume weusi, waliokuwa watumwa, walikuwa wakipiga kura, lakini siyo kuleta hoja ya kwa nini hajachaguliwa rais mwanamke. Hujui kuwa wagombea wanawake wamekuwepo ila wamekuwa wakishindwa kwenye primaries, isipokuwa Hillary aliyelazimisha?
Wanachama kwa ujumla pamoja na wananchi wameonesha kuwakataa wagombea wanawake kwenye kiti cha urais, sasa kama wapiga kura wametumia demokrasia au laa hiyo ni juu yako.
Ni nini kinakufanya uamini kuchaguliwa mwanamke ndiyo kunaifanya demokrasia kuwa kweli?
Kwa akili zako hizi, kesho utakuja kusema demokrasia ni kuwa na rais transgender.
Hakupata nafasi kwakuwa demokrasia ya wakikuyu ilimchagua atangulie mbele ya haki.
joto la jiwe Upo Kaka Siku kwakweliZuwenna, Mambo?
tu angalia vile hizo miche vilivyo ratibiwa. hii ni purpose made. hii ni made man. tunajali sana mazingira maseraEneo kubwa bado ni pori.
Yote hii ni propaganda ya Kenya kuhadaa dunia hawatutakii mema watz.hii ilishawah kuletwa humu na tukaijadili na imeonekana ni uongo
1. Rwanda kuna reli yoyote? hizo 3,300km ni za rwanda ipi?