Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
But Egypt is still a shit-hole when it comes to democracy.By all standard Egypt's standard of living, economy, democracy, security are far better than Kenya
But Egypt is still a shit-hole when it comes to democracy.By all standard Egypt's standard of living, economy, democracy, security are far better than Kenya
Ona mambo hayo kutoka serikali ya Uingereza...This Joto la Jiwe guy picks almost anything he could find - a childish behavior of 1 year toddler.
I neither hate him nor have anything against him, ila mwana ni below average.
Wote humu mwisho wa siku tutaongea lugha moja kwamba Magufuli haikuwa uwezo wake bali ni Mungu aliamua kutulinda kupitia yeye.Ona mambo hayo kutoka serikali ya Uingereza...















What is democracy?But Egypt is still a shit-hole when it comes to democracy.
Sijakuelewa, fafanua tafadhali.joto la jiwe you can't save her, she belongs to the streets.
Indoctrinated Kenyan, right here.But Egypt is still a shit-hole when it comes to democracy.
Time will tell sit back,relax and wait 🙂but the fact still remain and shall still continue remaining kenyaland is the dorminant and the most sophisticated economy in this eastern africa block. then we have nigeria in the west, SA to the south, egypt to the north, kenya in the east... thats just but the truth of the matter. kubalini tu matokeo.. we've been this way eversince indepence(1963), and we are not about to relent anytyme soon.. we just can't let go coz we are the most hardworking pipo and with the most brilliant brains.. kwa sasa ni hayo tu, habari ndo hio
Wazungu hawafi njaa wala kuangaika na tribalism,nepotism,uwizi,uongo etc ,na uporaji wa maali ya umma🙂but hakuna siku nilishawai sikia tz to be EA powerhouse, infact nyerere mwenyewe alitaja kenya kama uzunguni, na nairobi, half london
Huamini inapatikana Tanzania sio🙂? Wivu utawaaua🙂w
hats world class there? ushamba utawaauwa
Indocrinated kwa sababu nimesema ukweli?Indoctrinated Kenyan right here.
Umeulizwa demokrasia ni nini?Indocrinated kwa sababu nimesema ukweli?
Tuwache maswali ambayo hayana tija. Wewe unaijua historia ya uongozi wa Egypt kweli? Mimi ninaifahamu vizuri tangu enzi za Egypt walipokuwa wanaongozwa na king halafu huyo king akapinduliwa na wanajeshi akina Abdel Nasser in the 1950s. Kuanzia hapo Egypt imekuwa ikiongozwa na Wanajeshi bila uchaguzi wa urais kuwahi kufanyika. 2011 baada ya Arab spring revolution Hosni Mubarak ambaye pia alikuwa mwanajeshi na alikuwa amekwama kwenye madaraka kwa miaka 30 alitolewa kwa nguvu na 2012 uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia wa urais ulifanyika. Morsi ndiye alichaguliwa na kuwa rais wa kwanza kuwahi kuchaguliwa na wananchi wa Egypt. Kwa bahati mbaya rais huyu hakumaliza hata miaka miwili madarakani kabla ya serikali yake kupinduliwa na jeshi tena na mwanajeshi mwingine Al Sisi kushika hatamu. Huyu Morsi alifungwa jela na akafariki akiwa gerezani. Viongozi wote wa serikali ya Morsi walifungwa gerezani na wengine wamekufa gerezani. Egypt ni one of the most pathetic, disgusting, shit-hole countries likija kwenye suala la demokrasia. Chamoto ninajua ninachozungumzia.What is democracy?
Ukweli lazima ukutese, umia pole pole kilaza, bingwa wa maboya humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂hoja zimekuishia kilichobakia ni kuongea matope tu
Hivi ndio tulipataga Misonge ( Banda) ya Necta Jog
J/KBut Egypt is has top 3 biggest Economy in Africa, kwahiyo kumbe uchumi peke yake hauna maana au unajaribu kufanya "Maneuvers' ili kuhakikisha unashinda mjadala?Tuwache maswali ambayo hayana tija. Wewe unaijua historia ya uongozi wa Egypt kweli? Mimi ninaifahamu vizuri tangu enzi za Egypt walipokuwa wanaongozwa na king halafu huyo king akapinduliwa na wanajeshi akina Abdel Nasser in the 1950s. Kuanzia hapo Egypt imekuwa ikiongozwa na Wanajeshi bila uchaguzi wa urais kuwahi kufanyika. 2011 baada ya Arab spring revolution Hosni Mubarak ambaye pia alikuwa mwanajeshi na alikuwa amekwama kwenye madaraka kwa miaka 30 alitolewa kwa nguvu na 2012 uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia wa urais ulifanyika. Morsi ndiye alichaguliwa na kuwa rais wa kwanza kuwahi kuchaguliwa na wananchi wa Egypt. Kwa bahati mbaya rais huyu hakumaliza hata miaka miwili madarakani kabla ya serikali yake kupinduliwa na jeshi tena na mwanajeshi mwingine Al Sisi kushika hatamu. Huyu Morsi alifungwa jela na akafariki akiwa gerezani. Viongozi wote wa serikali ya Morsi walifungwa gerezani na wengine wamekufa gerezani. Egypt ni one of the most pathetic, disgusting, shit-hole countries likija kwenye suala la demokrasia. Chamoto ninajua ninachozungumzia.