Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FCmEMLwX0AI3QU1
Kenya nchi yangu, yani nchi ndogo lkn road network kubwa kuliko majirani
 
mbona usiweke the real data hapa tuone? kwa maoni yangu, hapo kwa reli ya Rwanda ilikuwa typo(typing error tu) lakini hizo takwimu ndio ukweli wa mambo.
Rwanda nkm waliandika kitu the same na kenya
 
mbona usiweke the real data hapa tuone? kwa maoni yangu, hapo kwa reli ya Rwanda ilikuwa typo(typing error tu) lakini hizo takwimu ndio ukweli wa mambo.

Hakuna kitu kama hicho na haiwezekani... na aliyepika hizi data ni mtu ambaye haijui Tanzania vizuri.

Road network tu yenyewe sizani kama kuna nchi inatuzidi ha E. Afrika.
 
Natumai umejionea mwenyewe kwenye hio list kwamba Egypt wapo number 151 huku Kenya ipo number 82 na Tanzania 83. Egypt kwenye demokrasia wao ni shit-hole. Halafu nchi nyingi za kiarabu na middle east ni shit-hole kwenye demokrasia ikiwemo akina UAE na hata Saudi Arabia, Iran na Turkey
The most recent list Tanzania ranked higher than Kenya, this is old one[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uganda wameanza kuviziwa na magaidi. Milipuko imeanza kitembea. Cha kushangaza ni kuwa hawa Shabab wanaiogopa Kenya yaani wanapitia Kenya bila kutulipua wanakwenda kulipua Uganda.
Wanawezaj kupitisha vilipuz keny alaf washindwe kuwalipua.?
 
Back
Top Bottom