Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,387
Mm huwa sikatishiw maneno kwa mbele kaka...kwaiyo ulikuwa unamanisha kibera ndio jini linalo kumiza sanaaa mind you iyo sio slum peke mkonayo apo kunya land...so chill broo...subiri gither ikamilike[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1979011
"Joto la jiwe aanza uvuvi" [emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa cha Habari front page kinasoma "Joto ajisogeza kwa Zuwenna" [emoji13][emoji23][emoji23] sema kimeumana...[emoji23]
Sitashangaa kampeni zijazo hili suala likawa agenda....Hii nchi haina mifumo thabiti kila kitu Ni siasa
Ila taratibu ni muhimu wafanyabiashara wadogo wafanye biashara zao mahali rasmi na waruhusu wafanyabiashara wakubwa wafanye biashara kwa amani pia. Imagine mtu anapika chini ya nguzo ya umeme na anaiba na umeme, hatari yake inaweza unguza kiwanda kizima cha yule mfanyabiashara mkubwa! Pia kuna suala la haki za wapita kwa miguu. Hili zoezi limechelewa sana! La sivyo tunaenda kujenga Manila, Mumbay na Jakarta nyingine hivihivi tukiangalia cha ajabu masoko yapo tena yamejengwa kwa gharama. Hao wafanyabiashara ndogondogo wanaweza kujikusanya wakanunua bajaj za kusambaza chakula chao kama RC alivyosema wapikie majumbani kwao na si kama sasa. Mbona mamalishe wapo dunia nzima hata nchi zilizoendelea unakuta viwandani kuna canteen na kuna wale wanaoleta chakula kwa van! ikifika mchana kipindi cha break wapo!Sitashangaa kampeni zijazo hili suala likawa agenda....Hii nchi haina mifumo thabiti kila kitu Ni siasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Hapana mkuu,this 'flowers'were made for us men,so,nina mwagilizia maji ili "ua" liote[emoji12][emoji12]
We ukipewa matatu na dingi wako uzimiliki zikatae manake huna uwezo huoUnatia hurum sna ...kwanini unawaza vitu vya kurithi? Kajan pambana uwe na chako ndio kitam
Tumeyamaliza kupitia "inbox" naona hapa paparazzi wanatuwekea usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa cha Habari front page kinasoma "Joto ajisogeza kwa Zuwenna" [emoji13][emoji23][emoji23] sema kimeumana...[emoji23]
Mbona hela ya ndege itolewe kinyemelanyie wakenya mbona hamueleweki,kioindi cha nyuma wakati hatuna ndege mlitukashfu kwa maneno kuwa hatuna ndege,sasa hivi tunanunua ndege zetu kwa pesa zetu unaanza ooh mnanunua mindege ili muipaki JNIA,
kipi unachotaka sasa maana haueleweki?
Wewe kweli ni mpumbavu nyerere kauwa watu wengi kuliko maraisi wote hapa tz na kaua hadi wazungu sema tofauti yake ni kwamba kaua kwa HAKI NI KAMA MFALME DAUDI ALIUA HADI MUNGU AKAMWAMBIA WEWE UWEZI NIJENGEA HEKALU KWA SABABU UNADAMU YA WATU WENGI MIKONONI MWAKO....KIKWETE KAUA WATZ WENGI KWA MADAWA YA KULEVYA NA UJAMBAZI KIPINDUPINDI ,KAUA WANAVIJIJI MAMIA KWA KUPITIA WAWEKEZAJI MIGODINI kama utakumbuka kuna matukio ya watz kufukuzwa machimboni kwa kufukiwa migodini, pia mabeberu walipo teketeza kijiji kizima ili kuwafukuza wananchi kwenye maeneo yao ili wachimbe madini ,hao mabeberu walimwaga sumu mtoni kijiji kizima kikateketea kwa watu kufa na kubabuka sura, vyombo vya habari vikarusha hizo taharifa zika zimwa ghafla kukawa kimya kabisa maana waliogopa habari kufika kwa baadhi ya wazungu wema ingeleta matatizo duniani ,habari za msitu wa mwagepande ambapo kikwete alifanya yake huko . MKAPA aliua wazanzibari kama elfu1400 hadi wakakimbilia kenya na hii ndiyo chuki ya Mama Samia kwa muungano ilipo hata sasa sema tu ni kama mchawi kupewa mwana .... ,habari za msikiti wa mwembe chai umezisahau
Baba yao naomba utuletee ushahidi wa Wakenya wakijisifu humu ndani kwamba wanakuwa kwa 7%, mm nilikuwa najua fika kwamba Kenya uchumi wake upo kwenye negative lkn humu hawa mbwa waongo waongo wakiongozwa na Teargas wakawa wanajisifia eti uchumi wao unakuwa kuliko nchi zote EA alafu na cc tukawa tumekausha tu, Watz tuwe makini na hawa watu.Kwanza, wapi tulisema kwamba uchumi wetu ulikuwa wa 7%? Hebu onyesha. Pili, uchumi wetu haukuwa kwa -3% bali -0.3%.
Elevated section ni 5km only.Hahaha expressway in total ni 27 kilometres. Sema tu unajisahaulisha kimaksudi.
Mkuu ujue wewe wkt mwingine ni mkaidi sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matajiri ni asilimia ngapi ya wakenya?, Haizidi 1%, bado jam itaendelea tu
Leta evidence kwamba sehemu iliyoinuka ni 10km ili niondoke jamii forums.Sehemu iliyoinuka ni takriban 10 km.
Sio kwamba uliongeza chumvi bali ndivyo walikuwa wanasema hivyo.Bro hapa niliongeza chumvi kidogo [emoji23][emoji23]
Urafiki nje ya ukweli ni unafiki! Get to know the genesis ya hili! Ni kueleza mabaya ya Magufuli! I have nothing to fear and no one will cow me down on that! Just like they peddle his good i have the right to peddle his bad in the honor of those lost souls!Geza Ulole utapuuzwa na waTZ wengi huku. Utatengeneza chuki na Watanzania wenzako. Jaribu kutengeneza urafiki nao na kupunguza malumbano nao.
Anayosema mengi ya ukweli yako wapi hayo mengi anayosema, infact humu ndani Watz walio wengi including me tunashindwa kumuelewa mana anaonesha tabia za wanasiasa wa bongo ambayo ni tabia iliyoongelewa vzr sn na Mwl. Nyerere.Huu ni ushauri wa busara, ila kwa upande mwengine watu waache kumsakama kwasababu anayo haki ya kutoa maoni yake, na ukiangalia kwa undani Sana mengi anayosema ni kweli.
Hii picha imeniuma sana huwezi amini wakuu.
Kwahiyo Magufuli hakuamuru Tundu Lissu, Ben Saanane na Azory Gwamba wapotezwe?Anayosema mengi ya ukweli yako wapi hayo mengi anayosema, infact humu ndani Watz walio wengi including me tunashindwa kumuelewa mana anaonesha tabia za wanasiasa wa bongo ambayo ni tabia iliyoongelewa vzr sn na Mwl. Nyerere.
Humu watu hatumpingi lkn asituone wajinga tunapomkumbusha kauli zake juu ya JPM, kama ulikuwa unasifia zen baada ya mambo kubadilika umeanza kuponda inatakiwa utoe taarifa kwamba jamani eehh nilikuwa nakosea kusema vile samahani jamani ukweli ni huu, Mana lengo la kuwa humu ni kupeana taarifa hata kama una uhuru wa kuongea unachotaka lkn juwa kwamba huongei peke yako humu.
So unafki co mzr, asilimia kubwa humu watu wameelimika usidhani kwamba hatukumbuki, kwa hyo inabidi ajitathmini kwanza Mana humu hajiabarishi yeye mwenyewe.
Nitajie wilaya nyingine Tanzania iliyopata upendeleo Tanzania kama Chato kipindi cha Urais wa Marehemu Magufuli, yaani imejengewe uwanja wa ndege wa Kimataifa, ikapewa ferry, ikaanzishiwa mbuga ya wanyama, ikajengewa uwanja wa mpira, ikajengewa soko la dhahabu, ikajengewanyumba za Polisi, ikajengewa machinjio na soko la mnada la kisasa, soko la kisasa, ikajengewa na chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC), ikajengewa ofisi ya Tanesco ya kisasa, Ofisi ya CRDB ya kisasa, ikajengewa mahakama ya Wilaya kama ya Chato, ikajengewa ofisi za Zimamoto kama Chato, ikajengewa Hoteli ya nyota 3 (inasemekana nyota 4) kama Chato, ikajengewa stendi ya mabasi ya kisasa, chuo cha VETA cha kisasa, hospitali yenye hadhi ya rufaa ya kanda, mabarabara na mataa ya barabarani, nyumba za polisi n.k.! Mind you Chato ina idadi ya watu 365,000 vs watu 807,000 Geita Town (sensa 2012)! Wacha kufuru mzee!
Inaonekana zana zangu za uvuvi zimepitwa na wakati, mbona sikamati samaki?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]"Joto la jiwe aanza uvuvi" [emoji23][emoji23][emoji23]