Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe kenya last year uchumi wao ulikua kwa -3.0% [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo walikua wanatudanganya hawa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23] kujifanya eti uchumi wao ulikua kwa zaidi ya 7% mkunya ni muongo sana..

Na wakaongeza figure ye gdp [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwanza kwa kuwa tu na iyo mentle ya mshahara ni tatizo...pili naona umetumia mshahara wako kujipima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio mbaya pambana
Naona umeshindw apa kutokea sasa wajifariji[emoji1787][emoji1787]
Mwenzako kawekeza we keti hapo tu ukipiga kelele, au unafikiria mjini watu hawamiliki matatu hata za kurithi
 
Kwahiyo wazee Don YF na wakenya wenzako mlikua mnatupiga chaka.? [emoji23][emoji23][emoji23] Kujifanya Ooh uchumi wenu ulikua kwa 7.2% wazee ni waongo nyie khaa.!!
Ile 7% yenu ya kila mwaka imeenda wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna lockdown lkn bado uchumi unayumba
 
Tanzania has been voted Africa's top-notch tourism destination in 2021, according to the World Travel Awards (WTA) results, with Serengeti scooping the continental's leading national park for the third time in a row!

#TanzaniaImara[emoji1548]

#KaziIendelee[emoji1241]
 
Burundi ni nchi ya Tanzania iliyopo nje ya mipaka yetu (joking) [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikua nasoma chuo flani nchi flani na Mburundi mmoja, alikiuaa anaipenda bongo achaaa, hadi mi mwenyewe najitaathmini kama mbongo, kulikua na hall kubwa kila mtu anachora na kuandika kitu chochote cha nchi yake, Jamaa ye alichora Ramani ya TANZANIA na bendera .
 
Yaani Arusha haipo top 5 na zaidi ya 70% ya watalii wanaokuja Tanzania hupita pale! Nadhani kuna walakini kwenye hizo statistics!
Pengine hakuna walakini pale. Pengine Arusha haina industries nyingine isipokuwa utalii pekee. Ilhali maeneo mengine yanategemea industries na sectors nyingi tu. Halafu hata hio sekta ya utalii utakuta Arusha inawagana watalii na Zanzibar. Sio kwamba watalii wote wanakwenda Arusha.
 
Hivi huo uchumi wenu wa $100B uko wapi?
Tony254
Yaani mwanabiashara akikata pipe ya maji bahati mbaya unakuta mtu anaanza kuuliza kama Gdp ya Kenya kweli ni ya $100 billion. Mnashangaza sana. Ni kama kuwa na uchumi mkubwa kunazuia makosa madogo kama haya kufanyika.
 
Mbna nyie hela yenu ya TRA hamgawii watu mwisho mnaenda kuzitumia kinyuma na sheria kununua mimdege ili muipaki JNIA
nyie wakenya mbona hamueleweki,kioindi cha nyuma wakati hatuna ndege mlitukashfu kwa maneno kuwa hatuna ndege,sasa hivi tunanunua ndege zetu kwa pesa zetu unaanza ooh mnanunua mindege ili muipaki JNIA,

kipi unachotaka sasa maana haueleweki?
 
Hawa unene wanaupatia mahotelini na makambini broo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…