Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Unastahili kufahamu kuwa kwa kawaida,mji mkuu wa uchumi wa $102 billion kamwe hauwezi kutoshana na mji mkuu wa kauchumi kadogo ka $70 billion. Dar inaizidi Nairobi kwa idadi ya watu pekee. Kwenye majengo marefu tulishawapiga mkakaa chini zamani.๐๐๐ Big bro acha kujichanganya kwamba eti DAR CBD kuna three blue buildings, simamia ukweli bhana.. and guess what CBD zenu zote tatu hakuna hata CBD moja inayoweza Toshana na posta pekee.. heb nisiongee sana tuende ground ๐View attachment 1979497View attachment 1979498View attachment 1979499View attachment 1979501View attachment 1979506sasa na wewe unioneshe hiyo CBD kenya inayowezana na posta pekee ..na je Posta kuna majengo matatu ya vioo tu.?
๐๐ Apa yenyewe unaniacha hoi sana nyie kenyans mjue kutofautisha Kati green spaces na mapori, Dar CBD Iko na green spaces pia hizi hapa ๐View attachment 1979517View attachment 1979523ona vile green spacesโ๏ธ zinafaa kuwa in CBDs .. alafu tofautisha na hii ๐hapa ni porini kabisa jamaniView attachment 1979527na hizo CBD zenu zote zinaonekana kwenye hii picha moja ๐๐๐๐
View attachment 1979525

