Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu Kenya Kuna upinzani gani zaidi ya ukabila?, Upinzani wa Kenya imesaidiaje Kenya kupata maendeleo zaidi ya vurugu siku za uchaguzi na watu kuuliwa hovyo?
Ninachoongelea hapa ile wapinzani kupambania kile wanachotaka na wanachoamini ni sahihi kwa wakati huo na wako tayari kulipa Gharama (pay the price) ya hicho wanachokipambania (refer dr. Slaa). Kwa hilo wapinzani wa Kenya na hata Uganda nawapa kongole maana wapo aggressive and daring siyo hizi takataka zetu hapa Bongo ni majungu tu na kujependekeza na kusalitiana kwa chama na serikali iliyopo madarakani. Machafuko yanaweza kutokea hata hapa TZ na mara zote chanzo chake ni serikali zilizopo madarakani maana huwa hazikubali kutoka kirahisi hata kama zimeshindwa uchaguzi au zinaona kuna dalili upinzani kuchukua madaraka. (Kenya waliosabaisha machafuko na mauaji baada ya uchaguzi si vyama vya upinzani bali serikali iliyokuwa madarakani kushindwa kukubali matokeo kwamba wameshindwa katika uchaguzi). Mbona Zambia na malawi juzi juzi tu hapa wapinzani wamechukua madaraka lakini hakuna fujo maana walioshindwa walikubali kushindwa japo kama kawida ya waafrika walikubali kutoka madarakani kwa mbinde)
 
hebu wote muache kumquote.. awe anajipostia tu yeye mwenyewe.. nyie mpite pemben.. mnashindwa nn kumpotezea? mbona yule opportunity cost na mashashola wengi mmewapotezea.. muongezen na huyo
kweli kabisa mbona ni easy tu
 
Kuikataa chanjo iliyokibalika duniani kote ni kujidhalilisha na kujiaibisha mbele za watu wenye akili. Kwa unavyofikiria wewe ni kwamba hii dunia yote watu ni wajinga isipokua hapa Tanzania tu, tena watu wenye kupinga ni wale ambao hawana mamlaka ya kisheria na kitaalamu katika eneo la tiba?
Wajinga ni sisi tunao letewa chanjo wajanja ni wao wanao uza chanjo
 
Av been to Nairobi countless times Kaka, there was a moment I and my friends walked From westlands (Ibis hotel ) tukakatiza Nairobi University hadi Uhuru Park na tukapiga misele sana hapo cbd, it’s just less than 5kms,
Your Nairobi Town is tiny.
wanaforce kuaminisha mambo,tulishawaambia kuwa wanabishana na watu ambao tumeshawahi fika nairobi na tunaijua na ushahidi juu tunawaonyesha,
ila kazi yao ni kujifurahisha for nothing

hao ndiyo wakenya tulionao kwa hili jukaaa huwa wanaishia kuiona dar kwa picha tu
 
Kuikataa chanjo iliyokibalika duniani kote ni kujidhalilisha na kujiaibisha mbele za watu wenye akili. Kwa unavyofikiria wewe ni kwamba hii dunia yote watu ni wajinga isipokua hapa Tanzania tu, tena watu wenye kupinga ni wale ambao hawana mamlaka ya kisheria na kitaalamu katika eneo la tiba?
Pia tz atukukataa chanjo bali tunatumia fursa aliyo tupa mungu ya kovidi kuwa dhaifu kwetu kuvuta subira hadi itakapo thibitika chanjo bora zaidi
 
Kuikataa chanjo iliyokibalika duniani kote ni kujidhalilisha na kujiaibisha mbele za watu wenye akili. Kwa unavyofikiria wewe ni kwamba hii dunia yote watu ni wajinga isipokua hapa Tanzania tu, tena watu wenye kupinga ni wale ambao hawana mamlaka ya kisheria na kitaalamu katika eneo la tiba?

Hesitance to Vaccine is all over the World.
Let them hesitate, and those who are okay go for it.
 
IMG_3688.jpg

Iringa Town, small but classic
 
Back
Top Bottom