SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 550
- 1,299
Plus Mwangosi yule mwandishi wa habari aliyeuwawa kule Iringa kwa kulipuliwa na Bomu na askari polisi wakati wa J.KUkiacha huyo...Max wa JF alitobolewa miguu na drill enzi za JK...Owner wa Mwanahalisi yy alimwagiwa tindikali, kuna Dr aling'olewa kucha Mwabepande...Slaa aliwekewa Sumu...Mwakyembe aliwekewa Sumu...kuna watu wana unganisha kifo cha Akwelina na JPM ila wanasahau kuna Kijana aliuwawa Arusha kwenye maandamano ya Cdm na mke wa Slaa akapokea kichapo nyang'anyang'a enzi za JK...
Dr. UlimbokaDr aling'olewa kucha Mwabepande...
Usimsahau Mwangozi aliyetolewa utumbo mbele ya kadamnasiSlaa aliwekewa Sumu...Mwakyembe aliwekewa Sumu...kuna watu wana unganisha kifo cha Akwelina na JPM ila wanasahau kuna Kijana aliuwawa Arusha kwenye maandamano ya Cdm na mke wa Slaa akapokea kichapo nyang'anyang'a enzi za JK...
Huyu sio mkenya. Balozi ya Kenya nchini Tanzania imetoa taarifa rasmi.Jamaa wako nyuma sana, nashangaa mno, unajua zamani nilikuwa najua hz bata zilizo bongo ndo zipo Africa nzima kumbe wapiii, wenzetu tumewaacha mbali sn![]()
miili yao ilionekana sio? Ikazikwa kwa heshima zote? Now where is Azory Gwamba and Ben Saanane? Familia zao ziwazike!Dr. Ulimboka
Usimsahau Mwangozi aliyetolewa utumbo mbele ya kadamnasi
CCM ni mabingwa wa kufunika kombe, wakiminywa sana huwa wanaacha mwanaharamu apite ila kimsingi mambo yanabaki vile vile. Walifanye hivyo kwenye vyama vingi na hata kwenye chanjo. We angali nchi zote zilizoingia kwenye mfumo wa vyama vingi, zimeweza kuviondoa madarakani vyama vilivyowapatia uhuru, lakini CCM bado ni ile ile.Upinzani (opposition) serious upo Kenya na Uganda hapa east africa na kwa hili lazima niwapongeze. Tanzania hakuna wapinzani ila wamejaa wachumia tumbo tu. Nadhani unaelewa namaanisha nini. Napenda sana Opposition iwe na nguvu ili CCM isibweteke kuleta maendeleo kwa watanzania ila sioni serious wapinzani zaidi ya wachumia Tumbo wasio na dira yoyote ya maana ya kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda mbele. Wacha CCM iendelee tu japo siyo chama changu ninachokisupport.
Futa na hizi basi, kama hufuti tutaendelea kukuona malaya wa kisiasa.Washirika wa JPM
Mkuu mi naongelea dhamira za kweli za viongozi wa vyama vya upinzani kujenga upinzani wa kweli. Viongozi wa juu wa vyama vya upinzani wote kwa sasa ni wanajali maslahi yao binafsi tu. Ukishakuwa na aina hiyo ya viongozi wa upinzani ni kama hakuna tu upinzani. Unafiki na uzandiki umejaa sana kwenye hvi vyama vya upinzani. Penye ukweli lazima ukweli usemwe hata kama ni mchungu.CCM ni mabingwa wa kufunika kombe, wakiminywa sana huwa wanaacha mwanaharamu apite ila kimsingi mambo yanabaki vile vile. Walifanye hivyo kwenye vyama vingi na hata kwenye chanjo. We angali nchi zote zilizoingia kwenye mfumo wa vyama vingi, zimeweza kuviondoa madarakani vyama vilivyowapatia uhuru, lakini CCM bado ni ile ile.
malaya baba yako na mama yako!Futa na hizi basi, kama hufuti tutaendelea kukuona malaya wa kisiasa.View attachment 1979168
Pure Political Hawker! PPHFuta na hizi basi, kama hufuti tutaendelea kukuona malaya wa kisiasa.View attachment 1979168



































U r very cheap meeen!!!malaya baba yako na mama yako!
Unanunuliwa kirahisi rahisi hivi?malaya baba yako na mama yako!
Tupambanie hii nchi bado hatujafika mzee.malaya baba yako na mama yako!
Mm nitaacha huu upuuzi pale ambapo huyu mjinga ataacha upumbavu wake mana hawezi kula matapishi yake mwenyewe, au kama sivyo aseme amehamia kambi ya Kenya hapo ndipo nitaacha kumchalua, nitamfuata hata kwenye newz zake nitakuwa against huyu jamaa mpk akijitangaza kwamba yupo agaist na Tz, hatuwezi kuwalea wasaliti kama hawa.