Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna tofauti kubwa sana kati ya forest na vichaka pori

huwezi compet hata punje ya unga,ona pembeni mji ulivyojifunika na makazi hapo hakuna mapori

Dar ndiyo new york ya EAC
 
Hujui tofauti ya "HAS" na "HAD" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kingereza imekupiga chenga unaendelea kudisplay ujinga bila aibu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
If you dont have a prove please stay in your pathetic line[emoji23][emoji23][emoji23]fool..like expected nothing to show for....just like the rest of kunyans stay in your line fool...
 
Haujielewi wewe, uko na matatizo ya ki fikra, nenda beach ukazubae kule kama uko pwani., kunywa kahawa chungu na kaimati, relax tu, ni jioni.
mzee wa kurusha jiwe baharini una mawenge sana,

siku nyingine usirudie kuvuta weed chooni wakati unakichwa panzi
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya forest na vichaka pori

huwezi compet hata punje ya unga,ona pembeni mji ulivyojifunika na makazi hapo hakuna mapori

Dar ndiyo new york ya EAC
Wivu inakunyonga kwa sasa., vumilia mzee., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mbona developed area ya kunya hii apa na atuteti...toa ujinga apa
 
mzee wa kurusha jiwe baharini una mawenge sana,

siku nyingine usirudie kuvuta weed chooni wakati unakichwa panzi
ona sasa, zero ca[pacity to even argue, mikwara πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mbona developed area ya kunya hii apa na atuteti...toa ujinga apaView attachment 1978735
Point ujinga nione.., am seeing Nairobi west estate hapo chini., opposite sehemu ya industrial, na expressway under construction kisha kwa umbali muonekano wa Old CBD from angle ya Haille Sellasie Avenue.., na GTC tower in as foggy view., ni nini cha ajabu hapo? Dar ukiweka hivi ni balaa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Uku ni kunyaa sio?wivu na asira peleka kwa uhunye....this are just apart of many developed areas in Dar...mind your line
 

Attachments

  • Screenshot_20200726-125322.jpg
    61.4 KB · Views: 21
inabidi uvumilie kuwa mtanzania!



wakimaliza kukusanya, hela zinatumika hivi....

An African problem hii., but TZ haijatoka porini vizuri na wako na hili tatizo, nchi hovyo ni propaganda tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Jaribu tena bila kulia hio ni CBD pekee na parts of Mombasa road. Westy pekee imewatosha. Dar hakuna big city feel bedroom ndio kubwa. Commercial zone na Industrial zone Nairobi is superior.

Dar CBD na Kariakoo is equivalent to Nairobi +Mombasa CBDs Combined, that’s the truth though I know you won’t like it
 
Wacha kupoteza mdaah ..uchafu wenu huuu[emoji116]kengeni acheni kelel
 

Attachments

  • JamiiForums-64562249.jpg
    68.8 KB · Views: 27
eti mind your line., sasa umeandika kizungu eti kunionya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., kazi rahisi tu πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ mbona tuandike kwa mate na wino upo.., same locality, kwingine usijisumbue, tunapajua., wacha machungu zoea ukweli, jikubalini mahali mpo kwa sasa..,


Utazungusha angle zote but ni same area tu..,




 
Dar CBD na Kariakoo is equivalent to Nairobi +Mombasa CBDs Combined, that’s the truth though I know you won’t like it View attachment 1978748
jitekenye tu, umejichekea mzee? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ukubwa wa Dar ni population na makazi na sio CBD mlio ikusanya kwa locality moja.,
The best πŸ‘‡ πŸ‘‡ part ya Dar n bigger part ya CBD yenye mnatuleta angles tofauti kila uchao., the main three towers ndio centre of attraction πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nairobi West estate along Mombasa road vs Dar is slum residential., tofautisha.., Justinr bado sijaona any residential around your CBD that can come any closer to Nairobi west estate.., umejaribu kuponda lakini wapi., pengine utafute Kibera uweke humu ikuliwaze tu, πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

VS
 
Nitalazimika mzee, kwa hali inavyoenda humu ndani labda italeta sanity kwa vile watu wanamwabudu humu ndani!

Peleka haya mambo jukwaa la siasa mkuu. Haya mambo hapa si mahali pake sema unaforce tu na wewe soon tutAkuita mobutu wa hii thread. Kuwa muungwana maana Magufuli ameshapita aliyoyafanya ameyafanya tusongembele. Tatizo lako uko so biased kiasi kwamba unataka kuleta perfection kwa mama Samia kitu ambacho hakipo. Kila kiongozi anafanya makosa whether ni kwa kukusudia au bahati mbaya hivyo hakuna perfect leader. TUACHANE NA MAMBO YA SIASA KATIKA UZI HUU. PERSONALLY , AM FED UP WITH THESE POLITICAL THINGS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…