Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Au ww ndio chizi usiye jua pia currently ina manasha so far hapo ndio mlipo fikia fool
Punguza kuropokwa hata kama hujui maana ya context. You are only displaying your ignorance. 10k is the addition to the previous 11k done by previous governments. That's the data from Kenya Roads Board. The citation is very clear from this article. State values road network at Sh3.5trn before audit
 
Nashkuru mjumbe wa kamati nachukua nafas hii kumteua Teargas aje kujibu hoja asanteni sana

Umefanya vizuri kutuchagulia mtu mwenye Hela zake

IMG_1854.jpg
 
View attachment 1977732
Hii pesa ya kenya sijui iko na nini.. sijui ni majuju? east africa nzima ina abudu hii hela, ata hadi zimbabwe na eritrea, ethiopia. aafu birr inaishida lakini bado hakuna mwenye anataka hio birr. ata wa ethiopia wenyewe
Pesa ya wachache majority mko hoi!!!vipi sukuma wiki iko tayari?!au na leo unatoboa mpk asbh?!.😂
 

Very Cheap bro!!!kama hapo ni kwako unanialika nina dili ya job poa mahali!!!sikupi!!!.Coz hiyo ni part of my interview!!! You lack art, creativity and exposure pia, kwa kifupi wewe ni mshamba!!!How comes una vitu cheap hivyo, better buy kidogo kidogo those furnitures and appliances ila vitu vinavyo make statement!!!
 
Back
Top Bottom