Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio yenu ni kufika penye Kenya ilifika 2012.
You need a GDP per capita of $1036 ndio mfike Lower middle.
Kenya inatarajia true middle class by 2030. Yaani GDP per capita ya between $4,086 and $12,615
Twende kazi dogo naona unaongea sana hapa. Mbona balance ya account yenu huongelei?
Hebu jaribu kutoa madeni yote mnayodaiwa + Kupika data
 
Shida kubwa na watanzania ni kujidanganya. Na hii ni part of symptoms ya poor people in general.
Saa hii, Wakenya wanaompenda Magufuli ni chini ya asilimia 20%. Mwanzoni alikuwa na supporters lakini rangi yake ya ukweli imejulikana.

Heheheheheheheheheheheheheh.
Magufuli anakubalika tu Uganda na Burundi ambako wamo madikteta wenzake.

ae15faadfbedc0f92962741050b3f022.jpg
3cb0a0e88fa1758eebe934783d1e182e.jpg
f45521ec5d5b0a7c964a985fc8b0d8b5.jpg
e35529460ce86e5b7697a775d82bcd8c.jpg
 
Unaelewa kiswahili wewe bwege hio ni deni ya 17 yrs kenge wewe....😀😀

Unafkiri kwann wanataka suluhu na serekali wanajua mali zilizomo kwenye makontena ni balaa
Ndio maana wamechanganyikiwa😛😛😛
deni ya 17 years 190 billion dollars? okay deni ya mwaka moja ni $11bn , what's the yearly profit of that company and what did they ought to have paid $11bn a year for,just asking.
 
Kenyans you should make a point of visiting Tanzania and see the grinding poverty over there......There is a site placing Tanzania's poverty at 88% and it's very true.I took a trip to mwanza a while back and saw horror

Sent using Jamii Forums mobile app
WW unapotosha wenzanko , kama binadamu anaishi nyumba ya dog na dog anaishi nje , akija Tanzania ataona yupo mbinguni, kama MTU anamiliki half ya land ya Kenya mwenyewe akiacha wenzanke wanaishi kwenye meter square moja apo kibera na mmekaa kimya ukija bongo utashangaa normal citizen wana own land na houses

spensa_e
 
ila umemuelewa lakini huyo jamaa yaani anakuambia kama hawajaingia middle economy vizuri

asa maana yake nini....hafu wanajiita DC sio siri kanifurahisha sana..

Maana yake ni hii.

LDC - Lower Middle - Upper Middle - High Income

Kama hutaelewa zaidi ya hapo, rudi shule.

Middle-Income Countries (MICs)
 
Don't compare Magufuli to this president mlevi na mvuta bangi
IMG_20170726_001930.jpg
Kwanza kabisa, don't charge them $190 billion. Pesa ambazo Acacia haijawai tengeneza maishani mwake.
La pili, established institutions should administer fair justice. Hakuna investor hupenda nchi ambayo President anaweza ropoka anytime.
 
deni ya 17 years 190 billion dollars? okay deni ya mwaka moja ni $11bn , what's the yearly profit of that company and what did they ought to have paid $11bn a year for,just asking.
Go ask acacia ulitegemea wakuoneshe mpaka chupi zao...unafkiri mzungu mjinga achukue 10 alaf aseme nimechukua 10?????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Anachukua 10 anakwambia nimechukua 2
Sasa ndio hio walipe tu😛😛😛😛 we inakuumia nini
 
deni ya 17 years 190 billion dollars? okay deni ya mwaka moja ni $11bn , what's the yearly profit of that company and what did they ought to have paid $11bn a year for,just asking.
Hizo dogo siyo biashara za maua. We are talking about Gold my friend. Nyie komaaneni na issue zenu. Kama unashangaa sasa elewa hivyo. Hizo pesa tunawadai wazungu ma lazima watulipe. Bado kuhusu fuvu la dinosaurs aliyeko German wanaingiza pesa siyo muda tutaanza kuwadai since wamchukue toka TZ

Usiichukulie TZ kama Kenya. We are more than you guys 10000km away.
 
you must be high on something illegal
 
Back
Top Bottom