ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unamcheka nani????? Kuna siku utalia na kusema bora ningempa raila na sio kenyatta😀😀😀Naumia ama nawacheka...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sent from iPhone 7

Bora wasije sio kuja kuiba na tumezuia makontena yao ya dhahabu zaidi ya 277 hahaha hebu imagine yana value ya how many usd billions?????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Waache kulipa alaf waone sasa
Makontena mengine ya mchanga wa dhahabu yanaswa | East Africa Television
KAPUMZIKE USIFKIRI HIO NI BIASHARA YA MAUA😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nani anajaribu kuibia mwingine?
Acacia haijawai tengenzea pesa kama hio maishani mwake.
Kama ni market value, watahitaji kujiuza zaidi ya mara 200 ndio wafikishe hio pesa.
Kwanini mnazungushana? Si Magufuli awaambie tu watoke waende.
riding the train is a nice experience, it's so smooth, just glides on the rails... it's also super fast and since it's a smooth ride you won't realize how fast it is moving unless you look outside.not even a single private car can keep up with it's speed. way to go +254
HAPA KAZI TU SIO MANENO😀😀😀😀😀😀😀😀Magufuli ameanza tabia za Mugabe.
Usisahau kwamba awali, Mugabe alisifiwa sana na wananchi wa Zimbabwe.
Tulia. Issue za TZ kwanini zinakuwasha wewe mkenya.Nani anajaribu kuibia mwingine?
Acacia haijawai tengenzea pesa kama hio maishani mwake.
Kama ni market value, watahitaji kujiuza zaidi ya mara 200 ndio wafikishe hio pesa.
Kwanini mnazungushana? Si Magufuli awaambie tu watoke waende.
naona wakenya mmegeuka kuwa watetezi wa acacia....hahahaha... njaa kitu mbaya sana.There revenue was roughly 1b USD in 2016...assuming a constant revenue of USD 1b for 17 years this is 17*1=17b .so total revenues for 17 years =17b....then a government full of foolish guys demands tax of USD 190b....hahhahahahahahahhahahhahahhahahhahhahahbahahahahhahahahahahahhahahahahahahahahhahahahahahahha ......continue proving to the world how stupid you're![]()
sent from iPhone 7
why it's always LDC?!!...I hate it.

wewe ni msemaji wa acacia?...wakenya mnaufala sana....Nani anajaribu kuibia mwingine?
Acacia haijawai tengenzea pesa kama hio maishani mwake.
Kama ni market value, watahitaji kujiuza zaidi ya mara 200 ndio wafikishe hio pesa.
Kwanini mnazungushana? Si Magufuli awaambie tu watoke waende.

maua siku hzi hayana soko hahahaha😀😀😀😀😀😀Tulia. Issue za TZ kwanini zinakuwasha wewe mkenya.
Najiuliza kwanini nyie wakenya mnaumia sana!? Hatuwadai chochote, wanaodaiwa ni ACACIA inayodai ni Tanzania halafu wanaoumia wakenya. Si upumbavu huo.
Pambaneni na mambo yenu. Sisi tunapambana na issue zetu. Hatuna muda na mambo yenu endeleeni kuuza maua.
Tulia. Issue za TZ kwanini zinakuwasha wewe mkenya.
Najiuliza kwanini nyie wakenya mnaumia sana!? Hatuwadai chochote, wanaodaiwa ni ACACIA inayodai ni Tanzania halafu wanaoumia wakenya. Si upumbavu huo.
Pambaneni na mambo yenu. Sisi tunapambana na issue zetu. Hatuna muda na mambo yenu endeleeni kuuza maua.
Poit of correction. Hii siyo forum ya kenya ni ya Tanzania.Mwenye aliileta forum ya Kenya ndiye alituhusisha.
Lakini sisi kama majirani wazuri, hatutaki mwende njia ya Zimbabwe alafu kuwa migrants huku Kenya kwa sababu ya uchumi wenu.
South Africa wameumia sana kwa sababu ya Mugabe. Ndio maana xenophobia imejaa huko.