Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo dogo siyo biashara za maua. We are talking about Gold my friend. Nyie komaaneni na issue zenu. Kama unashangaa sasa elewa hivyo. Hizo pesa tunawadai wazungu ma lazima watulipe. Bado kuhusu fuvu la dinosaurs aliyeko German wanaingiza pesa siyo muda tutaanza kuwadai since wamchukue toka TZ

Usiichukulie TZ kama Kenya. We are more than you guys 10000km away.
yeayea we know you are 10000km ahead of kenya but we want to talk of reality here okay?
first even if they accept to pay you (which they won't) then let's say they have to pay you about $300 million a year in case they are making a profit of $800mn a year coz the company has to run and if they pay you their entire profit the company will be bankrupt in 3yrs.
so with $300mn a year,it will only take 633 years for them to clear their debt. wow not bad at all.
 
michago ya watu kama wewe....so hatushangai na hatumchukii magufuli aendelee kupiga kazi mwanzo mwisho
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
akileta kaduda na monalisa ni reliable sources ?
 
you must be high on something illegal
Tuliza shilingi lako hapa
Archosaur fossils found in Tanzania are forcing scientists to rethink the evolution of dinosaurs

upload_2017-7-26_13-22-56.png

750x422

400x225

Archosaur fossils found in Tanzania are forcing scientists to rethink the evolution of dinosaurs
 
Go ask acacia ulitegemea wakuoneshe mpaka chupi zao...unafkiri mzungu mjinga achukue 10 alaf aseme nimechukua 10?????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Anachukua 10 anakwambia nimechukua 2
Sasa ndio hio walipe tu😛😛😛😛 we inakuumia nini

Market Cap yao ni $651 million.
They will need to sell themselves 290 times over for them to pay this 'debt'.
 
yeayea we know you are 10000km ahead of kenya but we want to talk of reality here okay?
first even if they accept to pay you (which they won't) then let's say they have to pay you about $300 million a year in case they are making a profit of $800mn a year coz the company has to run and if they pay you their entire profit the company will be bankrupt in 3yrs.
so with $300mn a year,it will only take 633 years for them to clear their debt. wow not bad at all.
Hivi unadhani watalii wanakuja tu Tanzania bila sababu. Tuliza mshono wako. Kwenye Balancesheet ya Account yetu kwenye central Bank, Sehemu ya Debtors inasoma $190Billion Creditors is less than $2Billion.
Hebu piga Ratio za Balance sheet uone utamu wake sasa.
 
huyo anaitwa ganja man nusu ya ardhi kenya yake, viwanda vya maziwa vyote vyake most of banks zake
airlines nyingine zake.....malls zigine zake😀😀😀😀😀😀😀
48 million kenya wanasugua meno
na ikifika august 8,wakileta ujinga wa kupinga matokeo kwa kudai raila kashinda,lazima uhuru atatumia mungiki kuchinja wakenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
is what mzungu told u😀😀😀😀😀😀😀

Haha.
Mnajaribu kuwakamua Acacia venye Nigeria ilifanya MTN.
Difference ni kwamba MTN is a giant company, na fine ya Nigeria ilikuwa 'only' $5 billion.
Hii yenu inaharibu tu reputation yenu in the business community.
 
irrelevant.that is 37% in 2014 this is 2017
Is only three years my friend. You have independence since 1963. 2014 is 51yrs with 34%.
Nipatie muujiza uliofanyika hiyo miaka miwili (2015 and 2016) nakusubiri.
 
Back
Top Bottom