Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio ni politics.
Itakuwa aibu sana watanzania wafanye hivo hivo juu ya economy.
hebu kuwa straight......kwa hiyo wewe unashauri tufanye nini kwa wa investors wanaohujumu uchumi kwa cheating na kukwepa kodi?.....hebu tushauri kidogo tuone upeo wako
 
Wewe mkenya hii habari niya leo . Mnapo cook figures msianze kujisahau nakulopoka kwenye media. This proves that your actually LDC. Hii news ya leoView attachment 550894

Unajifanya msomi na huelewi context.
Kenya aims to achieve middle income status in 2030. Ndio maana tuna Vision 2030.
Saa ii tuko lower middle. Yaani tumetoka LDC lakini hatujaingia middle income vizuri.
 
Mnaenda bega kwa bega na North Korea kama nchi ambazo hazichukua ama haziwezi pewa loans.
Na huu ujinga wa 'kwa pesa yetu', itakuwa siku kuu mtakapo wacha kuringa.
Kama umesahau, wacha nikukumbushe kidogo.
Kenya has double Tanzanian budget
Kenya has double Tanzanian paved roads
Kenya has more power supply
Kenya has the greater GDP
Kenya has more foreign reserves
Kenya has the stronger currency
Tanzania has more people
Tanzania has larger land area

Kuna reasons mbili maskini huwa hachukui loans, na hii ndio husababisha yeye abaki maskini:
1. Hawezi pewa na benki.
2. Anadhani loans ni makosa.
endeleeni kuwa strongest GDP endeleeni kuidouble tz kwa budget,
endeleeni kuwa strongest currency na vinginevyo sisi hatuna time na wapuuzi kama nyie kikubwa fanyeni yenu na sisi twafanya yetu ya misingi...

kaa mkijua kisu kipo shingoni mwenu
 
hebu kuwa straight......kwa hiyo wewe unashauri tufanye nini kwa wa investors wanaohujumu uchumi kwa cheating na kukwepa kodi?.....hebu tushauri kidogo tuone upeo wako

Kwanza kabisa, don't charge them $190 billion. Pesa ambazo Acacia haijawai tengeneza maishani mwake.
La pili, established institutions should administer fair justice. Hakuna investor hupenda nchi ambayo President anaweza ropoka anytime.
 
Unajifanya msomi na huelewi context.
Kenya aims to achieve middle income status in 2030. Ndio maana tuna Vision 2030.
Saa ii tuko lower middle. Yaani tumetoka LDC lakini hatujaingia middle income vizuri.
Kwa huo ufala wakuuziana unga supermarket ndio mtakua middle income kwel...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endeleeni kuwa strongest GDP endeleeni kuidouble tz kwa budget,
endeleeni kuwa strongest currency na vinginevyo sisi hatuna time na wapuuzi kama nyie kikubwa fanyeni yenu na sisi twafanya yetu ya misingi...

kaa mkijua kisu kipo shingoni mwenu

Kisu labda kutoka kwa Ethiopia.
Gap ya GDP na budget za Kenya na Tanzania imekuwa ikipanuka kila mwaka.
 
I'm giving you Kenya power numbers.
World Bank, IMF and the rest are yet to compile statistics.
Leta sasa kutoka kenya but not news. Give me statistical information. Siyo habari za kwenye magazeti.
 
rais wa philippines Rodrigo duterte kama JPM
05a0ecb04105a52ccdc833b57be269e2.jpg

Wendawazimu wawili.
Ongeza Trump hapo.
 
Population of Kenya (2017 and historical)
Year Population Yearly % Change
2017 48,466,928 2.57 %
2016 47,251,449 2.61 %
2015 46,050,302 2.69 %
2010 40,328,313 2.67 %
12 more rows

Year Population
Yearly %
Change
Y
C
2017 56,877,529 3.12 %

2016 55,155,473 3.15 %

2015 53,470,420 3.21 %
 
Hahaha. CIA factbook is one of the most inaccurate source of info and predictions.
That said, A lot has happened between 2013 and now in Kenya. Kenya power connection stands at nearly 60%.
And we're doing it faster than the US did their electrification in the 1930s

Kenya’s national electrification campaign is taking less than half the time it took America

Quote from QZ
"
In the 1930s, the US embarked on a campaign to connect rural parts of the country to electricity. It took more than two decades before 95% of all farms were electrified. Kenya is working on doing that in just seven years.

Kenya added 1.3 million households to its electricity grid last year, raising the percentage of connected Kenyans to 55%, from just 27% in 2013, when the country’s electrification campaign began in earnest. In another four years, Kenya plans to achieve “universal access” where 95% of homes will have access to electricity. "
hauna point ....wewe umekurupuka jipange.....humu utakimbia mwenyewe ukiendelea kukurupuka
 
Sijui.
Lakini najua si kwa ufala wa uzembe kama Tanzania, kuua albino, kujenga reli 'kwa pesa yetu', kufukuza mainvestor na kuwa na raisi dikteta.
Kujenga reli inachoma eeh? Kuna aliewanyima nyie msijenge kwa pesa zenu? Investor wezi watakuja kwenu uku huo ufala umefika mwisho, mara ya mwisho ulisikia lini issue ya albino? Kennedy000 manake we Ni kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa, don't charge them $190 billion. Pesa ambazo Acacia haijawai tengeneza maishani mwake.
La pili, established institutions should administer fair justice. Hakuna investor hupenda nchi ambayo President anaweza ropoka anytime.
sasa mbona mnatamani JPM awe rais wa kenya angalau hata kwa mwezi mmoja?.

nikuletee uthibitisho?.
 
Back
Top Bottom