Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,891
- 103,757
wacha unafiki wewe uhuru wa mtu kutoa maoni dhidi ya mabaya ya Magufuli si sababu ya kutukanwa! Hata Uhuru huanikwa umu refer Pandora papers! Babake pia hukejeliwa!Ni kweli Geza kwenye matusi ni hatari sana.