komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ndio manake mna mark-time kimaendeleo mpka sasa hku sisi maendeleo baada ya kupata counties kila gavana anapambana kivyake ili aonekaniwe..Sisi tz tunataka raisi ndiyo afanye kazi kubwa kuliko yoyote kwa sababu kwa kufanya hivyo anakuwa kielelezo za uchapa kazi
Mambo ni yale ya barabara za vumbi

, stendi ya malori
nje ya NAIROBI kama zipo leteni mji wowote tuende battle na Dom .. let's do this ..hii chinangali recreational park 



