Elewaneni kirahisi
UAE kuna Dubai na Abu dhabi .
Etihad hub iko Abudhabi
Emitates na Flydubai hub iko Dubai
watu wengi hupitia Dubai kuliko Abudhabi
Ethihad alikuwa na route ya abudhabi to Dar ..ila ameikatisha because it was not profitable ..
Anashindana na Emirates na Flydubai
...
So kama Atc ataenda Abu dhabi atapata shida sana kupata wateja unless wa codeshare..ili Ethihad asiwe anakuja Africa kabisa ...watumie Dar kama Hub..na hapo inabidi Atc aruke route zote za Ethiad za Africa...Kama joburg na Nairobi...
Lasivyo ATC hawezi kutoboa mwenyewe akienda Abudhabi kufwata watu..route hailipi hyo..hata kwenda Dubai atasua sua...
ATC ajikaze aanze kwenda London kusaidia Wa Zambia ,Congo ,Zimbabwe ku connect kwenda London , Guangzhou ,Mumbai
Maana Alivyoweka Route ya Guangzhou mwanzoni kuwa Tue, Thur na Sat
Na akaweka Lusaka,Harare,Ndola ,Lubumbashi kuwa hizo siku ..unaona kabisa ana target hao pax wakonnect Via Dar kwenda Guangzhou..
ATC itakuwa ngumu kuchukua Waganda ..maana wao wengi wanapitia NBO...ndo karbu kwao
Sitashangaa hata London ikianza tukiwa tunaenda Tues ,Thurs na Sat
Wajitahidi na mumbai waweke hizo siku ..plus turudi na Joburg..maana WA SA lazima wapitie Addis au NBO kwenda India