Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivyo viarticle vyako hamna hata mtu mwenye muda wa kuvisoma,as long abu dhabi airport bado inarun na mashirika makubwa yanafika pale basi hata atcl inapaswa siku 1 itumie hiyo opportunity kufika pale
sorry kwa kukujibu mzee!
 
Ala
Kama mtu hajui huwa anaelekezwa mzee na sio kujibu kimuhemuko namna ile.
Kwanini utumie energy kubwa kumjibu mtu kimuhemuko wakati energy ndogo tu inatosha kumjibu mtu vizuri na akakuelewa!

Anyway...yaishe.
Alafu Geza mkorofi Sana,siku moja nilijibishana nae kwa hoja,akanifuata DM na kuanza kunitukana,yaani huyu jamaa aise!!
 
ndo maana nimesema ukinidharau hainishtui maana ni facts nimekupa! na ungezipitia ungeona hamna synergies kati ya Etihad na Air Tanzania! Etihad ilinunua Air Berlin na Alitalia na many other subsidiaries na biashara ika-fail huko kote!
Fact yako ai make sense,so unataka ATCL ikifanya route ya abu dhabi ndio itakua ishanunuliwa na etihad?
 
Elewaneni kirahisi

UAE kuna Dubai na Abu dhabi .
Etihad hub iko Abudhabi
Emitates na Flydubai hub iko Dubai

watu wengi hupitia Dubai kuliko Abudhabi

Ethihad alikuwa na route ya abudhabi to Dar ..ila ameikatisha because it was not profitable ..

Anashindana na Emirates na Flydubai
...
So kama Atc ataenda Abu dhabi atapata shida sana kupata wateja unless wa codeshare..ili Ethihad asiwe anakuja Africa kabisa ...watumie Dar kama Hub..na hapo inabidi Atc aruke route zote za Ethiad za Africa...Kama joburg na Nairobi...

Lasivyo ATC hawezi kutoboa mwenyewe akienda Abudhabi kufwata watu..route hailipi hyo..hata kwenda Dubai atasua sua...

ATC ajikaze aanze kwenda London kusaidia Wa Zambia ,Congo ,Zimbabwe ku connect kwenda London , Guangzhou ,Mumbai

Maana Alivyoweka Route ya Guangzhou mwanzoni kuwa Tue, Thur na Sat

Na akaweka Lusaka,Harare,Ndola ,Lubumbashi kuwa hizo siku ..unaona kabisa ana target hao pax wakonnect Via Dar kwenda Guangzhou..

ATC itakuwa ngumu kuchukua Waganda ..maana wao wengi wanapitia NBO...ndo karbu kwao

Sitashangaa hata London ikianza tukiwa tunaenda Tues ,Thurs na Sat

Wajitahidi na mumbai waweke hizo siku ..plus turudi na Joburg..maana WA SA lazima wapitie Addis au NBO kwenda India
 
Na ndo nilichojaribu kumuelewesha ila mwenzangu kaja na hasira! market yetu kubwa ni Europe, North America, India na South east Asia (growing fast)! Route ya London, New York zitalipa, hata sehemu kama Brussels ambapo kuna activities nyingi ukiacha utalii! Kwenda Abu Dhabi au partnership nao ni pata potea maana wale ni makaka na hawasalitiani!
 
Mdogo wangu Wakunya unawapa Vitasa vya PUANI hadi balaaaa
Hawa tunaenda nao bampa to bampa mpk waondoke wote humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa, niligindua kwamba wakunya ili waelewe inapasa uende nao kichizi chizi vile wao wako, jamaa co wastaarabu kabisa, hawawezi ku debate kistaarabu, so tunapiga panapouma hata kule twitter mwendo ni huu huu vitasa tuu
 
Na ndo nilichojaribu kumuelewesha ila mwenzangu kaja na hasira! market yetu kubwa ni Europe, North America, India na South east Asia (growing fast)! Route ya London, New York zitalipa, hata sehemu kama Brussels ambapo kuna activities nyingi ukiacha utalii! Kwenda Abu Dhabi au partnership nao ni pata potea maana wale ni makaka na hawasalitiani!
Wewe Geza hakuna mtu asiyejua humu ndani kwamba uko deep, tatizo ujuaji na kujiona perfect hapo ndipo shida inapoanzia but the rest is ur so deep and we need u in here, ila punguza ujuaji, pia uwe una apply consideration spirit, wacha ukaidi kwa ur fellow Tanzanians.
 
Elewaneni kirahisi

UAE kuna Dubai na Abu dhabi .
Etihad hub iko Abudhabi
Emitates na Flydubai hub iko Dubai

watu wengi hupitia Dubai kuliko Abudhabi

Ethihad alikuwa na route ya abudhabi to Dar ..ila ameikatisha because it was not profitable ..

Anashindana na Emirates na Flydubai
...
So kama Atc ataenda Abu dhabi atapata shida sana kupata wateja unless wa codeshare..ili Ethihad asiwe anakuja Africa kabisa ...watumie Dar kama Hub..na hapo inabidi Atc aruke route zote za Ethiad za Africa...Kama joburg na Nairobi...

Lasivyo ATC hawezi kutoboa mwenyewe akienda Abudhabi kufwata watu..route hailipi hyo..hata kwenda Dubai atasua sua...

ATC ajikaze aanze kwenda London kusaidia Wa Zambia ,Congo ,Zimbabwe ku connect kwenda London , Guangzhou ,Mumbai

Maana Alivyoweka Route ya Guangzhou mwanzoni kuwa Tue, Thur na Sat

Na akaweka Lusaka,Harare,Ndola ,Lubumbashi kuwa hizo siku ..unaona kabisa ana target hao pax wakonnect Via Dar kwenda Guangzhou..

ATC itakuwa ngumu kuchukua Waganda ..maana wao wengi wanapitia NBO...ndo karbu kwao

Sitashangaa hata London ikianza tukiwa tunaenda Tues ,Thurs na Sat

Wajitahidi na mumbai waweke hizo siku ..plus turudi na Joburg..maana WA SA lazima wapitie Addis au NBO kwenda India

kumbe .. kuna kitu nimeelewa.. hapa tayar ni shule nimeipata kuhusu safari za ndege. kwa wengine hakuna haja ya kutukanana.. unapotukana tunashindwa kusoma hizo comments.. pengine kuna elimu ila ukiweka tusi.. comment nzima tunaipita bila kumalizia kusoma yote. heri ya huyu jamaa [mention]Tz_one [/mention] (jifunzeni kwake) katoa shule na hajaweka tusi ndo mana hata mim nimeweza kuisoma yote na kupata shule flan hiv amazing!
 
Hawa tunaenda nao bampa to bampa mpk waondoke wote humu ndani tubaki pekeetu tupeane vitasa, niligindua kwamba wakunya ili waelewe inapasa uende nao kichizi chizi vile wao wako, jamaa co wastaarabu kabisa, hawawezi ku debate kistaarabu, so tunapiga panapouma hata kule twitter mwendo ni huu huu vitasa tuu
Saiv Wana maumivu baada ya kushindwa kesi ya maritime na Somalia 😃😃😃😃
 
Westlands
mutahichiira-post-2021_10_08_08_30.jpeg

mutahichiira-photo-2021_10_09_09_25.jpeg

Kileleshwa
huseinmahadh-photo-2021_10_12_08_41.jpeg
 
Mzee wa watu kajitoa sadaka kwa ajili ya Tz yake lkn matokeo tumeyaona, mm nina mpango wa kuwa naweka picha za mashujaa wa Tanzania wa kwanza Nyerere picha yake ya kuchora haitakosa nyumbani kwangu mwengine Magu, ckuwahi kufikiri kama atatokea kiongozi wa kumzidi Nyerere Tz hii lkn katokea, ofcz nampenda sana Nyerere na namuishi ila kwa Magu anasubiri piga ua, anaanza Magu zen anafata the Great Nyerere habari ndio hiyo japo inaniuma kuukubali ukweli huu lkn hakuna jinsi, kila nikifikiria naona kabisa mzee baba anasubiri kwa uncle.
 
Back
Top Bottom