Mimi sikuwa na bahati hiyo wakati naanza form 1 maabara za computer ndo zilikuwa zinajengwa basi nimekuja kujua internet baada ya form IV nilipata kabahati cha kufanya computer course BIDCO. From there onwards interest iliendelea kukua ila bahati mbaya sikuwa na basics nzuri, imagine ningekuwa exposed while niko darasa la kwanza!Mkuu mi nakumbuka wakati advance tunasoma complex numbers na probability ambazo tulianza soma toka o'level labda ile advance wakatifundisha basic ya programming labda web development au java au mambo ya graphics design au basic ya networking maana kwenye physics advance kunakuaga na electronics inguka an networking kidogo . Ni kitu ambacho ukitoka shule uwaweza apply kwenye maisha na mambo yakaendelea . Sio kuchora panzi
nilikuwa nahis hajui kiswahili .. kumbe anakijua vizur tu
Hizi roads zote ziko chini ya DMDP kila mwaka kutakuwa na maeneo mapya yatakayoendelezwa.Wakuu pande za uswazi Yombo, yn ni lami tupu, leo nimetembelea uswahilini aisee hatari ila kuna baadhi ya roads zimesimama wakazi wanasema keshakufa baba yetu hakuna kitakacho endeleaView attachment 1972369View attachment 1972370View attachment 1972371View attachment 1972373
Mbona wanasema somewhere in Africa si waseme tuu Dar es salaamKumbe wanajua
Ndio manake wabongo hatukosei kuwaita wazembe, sasa yani km wewe mwalimu basi ni kujikalia tu mpka mwisho wa mwezi ukisubiria hyo hela..
Jamani jamani, yani bado ile kasumba kwenu mtu akifanya kazi serekalini tosha ashamaliza kila kitu..
Kazi za serekalini hzo zitumie km sehemu ya kupata mitaji na hela ya haraka haraka na ya uhakika wala sio hela tegemezi katika maisha yako ya kila siku..
Yani nyie sijui mtazinduka lini, kuna watu hizi kazi za serekalini huaga wamafanya na mambo yao mtaani wanapiga freshy tu we jikalie tu ukisubiria mwisho wa mwezi
Mbona wanasema somewhere in Africa si waseme tuu Dar es salaam

Akili za jua kali mbovu sana sasa physically challenged persons watapandaje haya mabasi au kutakuwa na ka ajira cha juakali cha kubeba watu mgongoni ili waweze ku access BRT
Uchumu gani unaozungumzia an economy that cannot feed its people hiyo nayo ni economy? The gdp is good on papers now feed em those papers.issue tu ni venye uchumi wenu unakua kwa mwendo wa mzee kobe 2.1% mwaka huu. sisi 7.6.. alah!
hebu google please.....
Especially watanzaniaKwaiyo wewe unaamimi waajiriwa Wa serikali huwa wanakaa tu wanasubiria mshahara ?
Kavunja ngombe wenu CoW, kachukua bomba la mafuta toka UG, kafanya sgr moshi yenu ionekane obsolete hivyo kuchukua connection ya burundi, rwanda, congo, Uganda hadi south sudan na pia kaongeza maumivu ya KQ hivi ni vichache tuu ambavyi kenya ime suffer at the hand of Magufuli in just 5 years only but effect yake itakuwa felt in kenya for long years to come. Sasa bisha kwa fact sio mapovu.Legacy gani? Tanzania bado ni third world country very poor. Magufuli did nothing.
Hakuna kitu katika somo la economy linalosema a governmet(feed its people)..Uchumu gani unaozungumzia an economy that cannot feed its people hiyo nayo ni economy? The gdp is good on papers now feed em those papers.
Umetoka mtupundiyo maana nilipokuandikia hiyo post nilijua kabisa wewe ni kichwa maji nilijua kuwa fikra zako zitaiahia hapo hapo na ndiyo maana nikakuita zuzu![]()


Jamani mbona mnaweka picha za New York huku tena acheni mzaha kumbukeni battle ni between Dsm na Nairobi
mi nimeishia kumcheka tu,dhumuni la kumtolea ile mifano hata hajajua ni nini na hiyo yote sababu ni kichwa maji...Kwaiyo wewe unaamimi waajiriwa Wa serikali huwa wanakaa tu wanasubiria mshahara ?
nakipa 5 mkuuPia wanipe Credit , picha yangu hiyo ya mwendokasi![]()
hakuna mkoa utakaokuwa na upungufu wa madarasa secondary.. asante Mama
kwenye hili vip? kenya shule zote madarasa yanajitosheleza? au ndo tunaenda kuwachanjia mbuga wabaki kushindana na uganda
wakenya mjue kuwa pesa ipo tayar, kilichobaki ni kutumiwa
Unataka majirani waanze kuukimbia huu uzi kama walivyokimbia kwenye sgr cost comparison?Za SGR vikifika si itakuwa balaa!
Hata kama ni natural disaster kama hela ya gdb ipo si mnunue chakula kuliko kuacha watu wafe.Drought ni natural disaster we bwege, eti alafu unajiita engineer..
We sasa ulitakaje