Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani TZ wanashika mataji yote matatu ya soka la wanawake ktk ukanda wa COSAFA, U17, U20 na Senior level, incredible experience, 🙂

yes Sir
IMG_2274.jpg
 
Ila nikunya? Right?as pathetic as your,feel sorry for your mother...Tz n JPM(rest in peace)will kill you oneday
Km zanzibar ni tz basi mngelikua mnakaba pale mama anapoteua watu wenye asili ya kizenji..tatizo nyie inawauma
 
Aisee nimefuatilia harusi za wakenya zina vitu vya ajabu sana labda sababu ni uchumi wa makaratasi.

1.harusi nyingi kufanyia kwenye garden kukwepa gharama za kukodi ukumbi.
2.saloni wengi hupambiwa majumbani mwao.
3.harusi za kujumuisha watu hata sita kuoa kwa pamoja.

Hii ni ishara ya kwamba pple kwa ground hawana pesa mfukoni.
Naona kijiwe leo kimenoga sana
Wedding show ni mbali njoo mwnywe uone km hzo location bei utaweza..
Unafikiria kenya kuna vya ubwete km bongo
 
Hakuna nchi inaweza nunua ndege 10 kwa mpigo kwa pesa yake hapa Africa, Uganda wamekopa, Kenya hata mikopo hamuwezi tena siku hizi lazima muingie PPP
Bajeti yetu ya elimu inanunua ndege kadhaa kwenye fleet ya tz, tena za maana kila mwaka kisha
 
Ndege zenu zinapiga route and still zinatia hasara mara kumi ya hasara tunayopata sisi kwa kuziweka ndani tu ndege zetu, kitu kingine za kwenu zitaendelea kuwaumiza since karibu ndege zote ni za mkopo, ilas sie tukianza kupata route nyingi nje za uhakika basi ujue ni faida mwanzo mwisho, huku ndugu zetu mkiendelea kupata hasara bado mkiendelea kudaiwa... Nikuulize nani kati (kenya/Tanzania) anatengeneza/atakua na kesho (future) nzuri.?
Mnanyofolewa nyinyi na tangu mbele mshazoea
Nchi inatoa hela kununua vitu kiholela km mama mboga vile, matokeo yake ni madeni na kudakwa tu wala hamna jipya..
Faida atcl wataiskia viusasa, si hyo atcl imiliki walau hta ka foker ndio mje hapa
 
Leo nlikua nacheki cosafa, aisee hawa dada zetu wako so organized jambo ambalo tunalimiss upande wetu. Tungekua organized na kutuliza akili kama dada zetu tungekua mbali sana
Nyie hamna zaidi ya mashindano ya regions mzee
Sasa km hao ndio wako organised na mchuano wao mkubwa wanaojivunia nao ni cosafa, huoni hyo aibu
 
Bajeti yetu ya elimu inanunua ndege kadhaa kwenye fleet ya tz, tena za maana kila mwaka kisha
Hiyo bajeti yenu ya elimu mnatumia kufanya nini kisha.? Mana government schools in Tanzania ni nzuri kuliko za kenya, mtuambie bajeti inayotengwa kwaajili ya elimu mnaitumia kufanya nini au kama kawaida yenu wazee wa kubumba namba.?
 
We ni mpuuzi sana, katika vitu ambavyo nyie wakenya mnatakiwa muogope zaidi ni sisi kuwa na ndege zetu, miaka minne tu nyuma abiria wengi wa tz waliosafiri kimataifa walitumia ndege zenu pamoja na uwanja wenu wa ndege wa kimataifa JKIA.. Sisi kuwa na ndege zetu inamaana ya kwamba, watu wetu watakaosafir kimataifa watatumia ndege zetu na viwanja vyetu vya ndege .. hii inatueleza ya kwamba KQ pamoja na viwanja vyenu vya ndege vitakua vimekosa soko letu na hivyo kupoteza mapato ... Me nilijua wakenya mngeliangalia hili kwenye angle hiyo eti we unaandika ujinga unacheka hivi hata mnaakili nyie wapumbavu.?
Kweli nyie mumelishwa pumba, yani kuwa na ndege ndio watu wenu kupanda ndege zenu na kutumia viwanja vyenu..

Akili zako zimeganda km mwaya vile, unafikiria ujamaa una nafasi katika ulimwengu wa kusafiri..
Kila mtu anapanda kile kitu kilichomridhisha
 
Hiyo picha ya kwanza ni karakana ya mwendo kasi imeshaamishwa imepelekwa ubungo itakayokuwa East Africa trade center.

Picha zilizofuata ni za zamani mnoo, naona wamevaa mabuga

Nafikiri ni Tz ya 90 iyoo mana c kwa mabuga hayo
Tz ya 90s eee
Ikiwa mpka sai brt mnaingilia dirishani
 
Mnanyofolewa nyinyi na tangu mbele mshazoea
Nchi inatoa hela kununua vitu kiholela km mama mboga vile, matokeo yake ni madeni na kudakwa tu wala hamna jipya..
Faida atcl wataiskia viusasa, si hyo atcl imiliki walau hta ka foker ndio mje hapa
Unajua hata ile ndege iliyoshikwagwa kanada, ilishikwa kwasababu zipi.? Au kuropoka tu.?
 
Wewe kumbe ni mpumbavu, Nigeria ndio nchi yenye GDP kubwa zaidi Africa, kwahyo nao ni wapumbavu kwasababu nyie mnashirika la ndege kuliko wao.? Yani umeshindwa hata kuona point ya msingi kwenye maelezo niliyokupa mwanzo.? Shule ulikua unapataga ngapi wewe.?
Kwhyo kumbe hata nyie kununua ndege mpya sio kwamba mna uwezo kutuzidi sio
 
Sioni ni kwanini Tanzania tusitoboe kwenye biashara ya Anga wakati nchi yetu ni top destination in the world, sioni kwanini tusitoboe wakati sisi pekee ukanda huu ndio tuna international airports 3 ambazo zinajaa ndege za moja kwa moja za abiria na sio ndege za misaada za UN kama jirani zetu wanaotegemea uwanja mmoja, sioni kwanini tusitoboe wakati nchi yetu ndio iko kwenye position nzuri kibiashara na hivyo kuwa na abiria wengi wa Transit. Sioni kwanini tusitoboe wakati biashara ya mizigo ina potential kubwa kwa kuwa na mizigo mingi ya exports kama nyama, samaki, nafaka na mbogamboga.

Ninachoona ni ongezeko la ukubwa wa Terminals zetu ili kukidhi ongezeko la abiria ambalo litakuja kwa kasi sana baada ya dunia kufunguka na sisi kuongeza idadi ya ndege. Naiona ATCL ikiwa ni giant kwenye biashara ya Anga Afrika huku mashirika mengine yaliyosafiria nyota yetu kuanguka vibaya. Naiona Tanzania ambayo ni kinara kwenye biashara ya usafirishaji na Logisticts Afrika. Muda unaongea.
Hata babu wa loliondo alianza hivi hivi kwenye mawazo yake
 
Back
Top Bottom