Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Deni? Ama rubani alikwangua rangi ndio ikashikwa na trafiki
Ndege sio za atcl bali ni za GOT, yani wenye madeni na tz wote wanazikulia timing..
Endelea kukopa nje sana tu, manake external debt yenu kuna siku niliiona mpka nikasikitika..yani nchi haijiwezi
Jitahidi kuongea vitu unavyovijua tu, ndio uungwana, vitu usivyovijua jitahidi kuuliza uambiwe.. kuongea uongo ni dhambi
 
Napenda hii mikakati (huduma) inayotajwa hapa kwenye hili kampeni ya mama Dodoma ili kupambana na Corona ..
- Kuna ununuzi wa ICU za kutosha
-Ununuzi wa vitanda vya kutosha nchi nzima
-Ujenzi wa madarasa
-Ununuzi wa madawati
-Ununuzi wa ambulances
-Ununuzi wa magari ya kuchimba maji
-Ununuzi wa X-rays machines
-Ununuzi wa MRI
-Ununuzi wa CT scans
Vitu vingi tu vimetajwa . Maelezo by Mwigulu Nchemba

zote zinatokanana na mkopo uliotolewa na IMF kupambana na Corona, utekelezaji wake unatakiwa uwe umefanyika hadi June Mwakan.. (ase ila hawa IMF wana masharti magumu, $500m zitumike ndan ya mwaka mmoja kwa mujibu wa Job Ndugai..afu sehem kubwa zitarud huko kwao kwenye ununuzi wa baadhi ya vitu)
 
Hiyo bajeti yenu ya elimu mnatumia kufanya nini kisha.? Mana government schools in Tanzania ni nzuri kuliko za kenya, mtuambie bajeti inayotengwa kwaajili ya elimu mnaitumia kufanya nini au kama kawaida yenu wazee wa kubumba namba.?
Kawaida ya mtanzania maneno mengi, zero facts
 
Deni? Ama rubani alikwangua rangi ndio ikashikwa na trafiki
Ndege sio za atcl bali ni za GOT, yani wenye madeni na tz wote wanazikulia timing..
Endelea kukopa nje sana tu, manake external debt yenu kuna siku niliiona mpka nikasikitika..yani nchi haijiwezi
Tanzanian external debts are almost 80% of their total debts. That's a very sad situation indeed.
 
Km zanzibar ni tz basi mngelikua mnakaba pale mama anapoteua watu wenye asili ya kizenji..tatizo nyie inawauma
Tanganyika na zanzibar ndio iliunda Tanzania ...sasa sijui ni ujinga gani unao kichwani anaweza asiewe mtanganyika lakin ni mtanzania pia mm sio mzanzibar lakin ni mtanzania ...wivu ni wanini nyie fukara
 
Nyie hata mnajiweza.? Hivi uko kwenu kuna kampuni za ujenzi kweli.? Owky heb taja kampuni ya ujenzi ya kikenya inayojenga Mwanza international airport.?
We have so many construction companies in Kenya such as Nyoro Construction Company owned by Kenyan unlike Tz which only have one construction company owned by an Indian.
 
Sasa ukisha nunua ndege na budget ya elimu watoto wakae nyumbani sio ndio akili yako inavyokutuma hivyo? Mada hapa ni kununua ndege huku mambo mengine yakiendelea bila kuathiri budget zingine na hiyo inaonesha uwezo wa uchumi wa Tz. Bado tupotupo sana kwenye first financing option government funding, huko kwenye loans and grants tunachungulia kwa mbali ila PPP bado maana serikali yetu haijashindwa bado kutuletea maendeleo.
We all know that Tanzanian education sector is financed by well-wishers and donors😂😂. Tanzania has no muscles to finance her own education requirements. There's no day utaskia Kenya imepata msaada wa pesa kwa ajili ya elimu.
 
Deni? Ama rubani alikwangua rangi ndio ikashikwa na trafiki
Ndege sio za atcl bali ni za GOT, yani wenye madeni na tz wote wanazikulia timing..
Endelea kukopa nje sana tu, manake external debt yenu kuna siku niliiona mpka nikasikitika..yani nchi haijiwezi
Daaah hizi habari huaga unazitoa wapi ? 🙄🙄🙄🙄🙄
 
Tanzanian external debts are almost 80% of their total debts. That's a very sad situation indeed.
Wakati nyie mnachukua internal debt kulipa external debt. Au Unajifanya kusahau?

"According to the Controller of Budget, as recent as August 16, 2021 a syndicated loan of Sh15,035,407,020.70 was due for repayment and the Treasury went to the domestic market to borrow to repay the foreign debt."



 
acha wivu tajiri.. hela za ‘IMF’ tayari zimefika, kazi iliyobaki ni kutekeleza ndani ya mwaka mmoja na kuwapelekea reports IMF ya matumizi ya hela yao kama wanavyotaka.. Kazi Iendelee!
See how shameless you are. You are just proud to announce to us all that IMF is financing Tanzanian education 😂😂😂
 
Back
Top Bottom