Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Ila wakenya wanapikaa dataa Sanaa aisee , hawa wajamaa ndio wanasema wanapokea watalii wengi kutuzidi kwa mwaka, Nmekuja kugundua wengi wao sio watalii ni wafanyakazi wa UN wanakuja kikazi, kazi zenyewe ni kutoa misaada ya chakula na makazii ndio maana ndege za Un za misaada ni nyingi sana Kenya, zinatua isiolo international airport na kisumu sanasana, kwa sababu ukiangaliaa kwenye mapato ya utalii tumewazidi Ila wao wametuzidi kwenye watalii 🤔
 
acc ya azam fc twitter haiko active mda.. sijui wanalijua hilo
unashangaa hilo? account ya Kilimanjaro airport na wizara ya maliasili na utalii hawaja-update ujio wa Edelweiss leo mpaka sasa na waziri alikuwepo uwanjani! sasa sijui watalii wakitaka kuja Tanzania wana-google wapi kupata relevant information ? The power of social media bado ni suala tete sana kwa hawa wakuu! Nadhani Diamond inabidi awapige msasa wakiwemo Azam fc!
 
Ila wakenya wanapikaa dataa Sanaa aisee , hawa wajamaa ndio wanasema wanapokea watalii wengi kutuzidi kwa mwaka, Nmekuja kugundua wengi wao sio watalii ni wafanyakazi wa UN wanakuja kikazi, kazi zenyewe ni kutoa misaada ya chakula na makazii ndio maana ndege za Un za misaada ni nyingi sana Kenya, zinatua isiolo international airport na kisumu sanasana, kwa sababu ukiangaliaa kwenye mapato ya utalii tumewazidi Ila wao wametuzidi kwenye watalii
Yaani ukikatiza tu border kuingia Kenya tayari unahesabika kama mtalii
 
D00dIsbW0AAOnoB

D00dLCNXgAQt61T

CC: Teargas, komora096 n Tony254

MY TAKE
Ndo maana wamebaki ku-plot conspiracy towards incoming main competition in the region!
ata level ya air Rwanda mjafikia na mnapiga kele Kama Wenda wazimu🙆🙆🙆
 
ata level ya air Rwanda mjafikia na mnapiga kele Kama Wenda wazimu🙆🙆🙆
Rwandair nao wana ndege za mikopo! Rudi 2023 halafu uone tukipindua meza kibabe na ndege 16 na by that time KQ itakuwa ine-operate less than 20 aircraft!
 
Rwandair nao wana ndege za mikopo! Rudi 2023 halafu uone tukipindua meza kibabe na ndege 16 na by that time KQ itakuwa ine-operate less than 20 aircraft!
Ndege zenu zinaozea kwenye hangars na unapiga makelele hapa. Afadhali wenye wana ndege za mikopo ila zinapiga routes.
 
Aisee nimefuatilia harusi za wakenya zina vitu vya ajabu sana labda sababu ni uchumi wa makaratasi.

1.harusi nyingi kufanyia kwenye garden kukwepa gharama za kukodi ukumbi.
2.saloni wengi hupambiwa majumbani mwao.
3.harusi za kujumuisha watu hata sita kuoa kwa pamoja.

Hii ni ishara ya kwamba pple kwa ground hawana pesa mfukoni.
 
Tanzania is a country being run by donations and grants. Juzi mlipewa donations to fund your education system yet you are all here making noise.
Kenya is a Country being run by food donations without which life is almost impossible for most of your citizens
 
Back
Top Bottom