joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Who owns this Expressway?



Who owns this Expressway?



KQ is the best in making losses nothing MoreKQ is operating 40 aircraft. Again KQ was the third best airline in Africa this year, Any Time Cancellation Limited (ATCL) ilikuwa number ngapi?
Hahahaha, PPP is the last option out of three model of financing Government projectsSisi tunatumia very sophisticated financing models siku hizi PPP ambayo nyie hamjwahi kusikia. Mtakuja kutumia PPP baada ya miaka ishirini ijayo, wakati uchumi wenu utakuwa mature kama yetu.
Who own ATCL's planes?And who said kuoperate inamaanisha kumiliki? Just a reminder that ATCL doesn't also own any plane.
Ndege 3 chakuvu vs ndege 12 mpyaata level ya air Rwanda mjafikia na mnapiga kele Kama Wenda wazimu![]()




Zinapiga routes na kutengeneza hasara, Bora kubaki kwenye hangarsNdege zenu zinaozea kwenye hangars na unapiga makelele hapa. Afadhali wenye wana ndege za mikopo ila zinapiga routes.



noma sana,hizi team za wanawake ni zakuzipa nguvu sana inabidi tuwatazame kwa jicho la tatu,
Ndege zenu zinapiga route and still zinatia hasara mara kumi ya hasara tunayopata sisi kwa kuziweka ndani tu ndege zetu, kitu kingine za kwenu zitaendelea kuwaumiza since karibu ndege zote ni za mkopo, ilas sie tukianza kupata route nyingi nje za uhakika basi ujue ni faida mwanzo mwisho, huku ndugu zetu mkiendelea kupata hasara bado mkiendelea kudaiwa... Nikuulize nani kati (kenya/Tanzania) anatengeneza/atakua na kesho (future) nzuri.?Ndege zenu zinaozea kwenye hangars na unapiga makelele hapa. Afadhali wenye wana ndege za mikopo ila zinapiga routes.
Kule COSAFA tunaongoza pia.noma sana,hizi team za wanawake ni zakuzipa nguvu sana inabidi tuwatazame kwa jicho la tatu,
Leo nlikua nacheki cosafa, aisee hawa dada zetu wako so organized jambo ambalo tunalimiss upande wetu. Tungekua organized na kutuliza akili kama dada zetu tungekua mbali sananoma sana,hizi team za wanawake ni zakuzipa nguvu sana inabidi tuwatazame kwa jicho la tatu,
3 weeks tu ishikwe Canada 😄😄😄alafu zenye zimebaki mwanikie mpingaNdege 3 chakuvu vs ndege 12 mpya![]()
We ni mpuuzi sana, katika vitu ambavyo nyie wakenya mnatakiwa muogope zaidi ni sisi kuwa na ndege zetu, miaka minne tu nyuma abiria wengi wa tz waliosafiri kimataifa walitumia ndege zenu pamoja na uwanja wenu wa ndege wa kimataifa JKIA.. Sisi kuwa na ndege zetu inamaana ya kwamba, watu wetu watakaosafir kimataifa watatumia ndege zetu na viwanja vyetu vya ndege .. hii inatueleza ya kwamba KQ pamoja na viwanja vyenu vya ndege vitakua vimekosa soko letu na hivyo kupoteza mapato ... Me nilijua wakenya mngeliangalia hili kwenye angle hiyo eti we unaandika ujinga unacheka 😂😂😂 hivi hata mnaakili nyie wapumbavu.?3 weeks tu ishikwe Canada 😄😄😄alafu zenye zimebaki mwanikie mpinga
Huko Kwa wadada hakuna mambo ya uSimba na uYanga.. Ndio maana wako organized na Kuna team spirits.Leo nlikua nacheki cosafa, aisee hawa dada zetu wako so organized jambo ambalo tunalimiss upande wetu. Tungekua organized na kutuliza akili kama dada zetu tungekua mbali sana
Hiyo picha ya kwanza ni karakana ya mwendo kasi imeshaamishwa imepelekwa ubungo itakayokuwa East Africa trade center.










