Kilaza tena 😂 😂 😂 😂 😂 , kaka si ufanye utafiti kabla ya kukurupuka 😂 😂 😂., Qatar has one of the highest human development index in the world, unatuambia nini wewe.., mmezoea kudhalilisha kila kitu, ona sasa., yaani unalazimisha tu ili uonekane umejibu, idiocy on steroids😂 😂 😂 Qatar is a developed country, and is in the first world category., nionyeshe sehemu imesema literacy rate na democracy kama kigezo.., infact Qatar has no issue with such u ignorant., next time try and do thorough research wacha kiherehere mlio nayo., kujifanya mjuaji kumbe empty headed 😂 😂 😂 😂First World countries sio utajiri wa pesa pekee wacha ujinga wewe, wacha kutafuta definition za vichochoroni.
Qatar inaongoza duniani kwa kuwa na GDP per Capita kubwa pekee, lakini Mambo mengine yote yenye kufanya nchi kuwa first World hayapo, Human Development ya Qatar ipo chini Sana, Literacy rate na demokrasia vyote vinachangia nchi kuitwa developed country, wachana na definition za vichochoroni
Mkuu uko sahihi kuihukumu na ni sawa kabisa kujipa muda kuitathmini maana hizo side effects zote bado ni za muda tu na kwa wachache unawezakuta ni muda wao umefika wakachukulia kuwa ni vaccine imewasababishia mfano halisi ni mdingi moja miaka tano iliyopita alipoteza nguvu zake za kiume from no where bila tatizo lolote la kiafya kati ya yanayojulikana kusababisha hali hizo. Sasa huyo mzee ingemtokea baada ya chanjo angesema chanjo ndio sababu.Kuna wataalamu wengi tuu wanaopinga hizi chanjo za mRNA.
Umejiuliza kwa nini WHO bado wanafanya review ya Sputnik (Russia) na Novavax (US) lakini zile za mRNA walizi approve chap chap?
Hata Tanzania kuna yule mama mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza aliliongelea hili la mRNA pale TBC.
Tatizo wataalamu wengi wananyamazishwa. Watu wakihoji wanashambuliwa, eti "follow the science" which one? Political? Wewe hujiulizi tuu kwanini hawataki hata kufanya serology test? Yaani leo immunology imekuwa redefined kirahisi rahisi tuu, bila hata ya paper yoyote?
Dah! hii naifanisha na onyo la sigara 😀Siyo kweli, kwenye corona hawaulizi, tena walienda mbali (mwanzoni mwa mwaka) kusema antibodies zinapungua haraka. Cha kushangaza studies za sasa kama ile ya Israel na hata UK zinaonesha watu waliopata corona wana kiasi kikubwa cha antibodies, mwaka mmoja baada ya kuugua. Wakati wale waliochanja antibodies zinaisha baada ya miezi michache (ndiyo sababu ya kuletwa "boosters")
Naona hunisomi vizuri.
Nilichohoji ni kwa nini hawaruhusu antibody test, ili wale waliopata corona watumie test results hizo kuonesha wanakinga badala ya kuchanja. Sababu ya chanjo si ni kuwa na kinga? Sasa kama mtu teyari anakinga chanjo ya nini?
Tafiti zilizofanywa Israel, nchi ambayo ina asilimia kubwa ya waliochanjwa, zimeonesha kuwa wale waliopata corona (natural immunity) wanauwezo wa kinga mara 13 kuliko wale waliochanjwa.
Hayo ni maneno yako ila CDC ambao ndiyo wanapigia debe chanjo wanasema waliopata corona wanaweza pata strong side effects.
Unafikiri ni kwa nini huwezi kushtaki kama utapata matatizo baada ya chanjo, hasa kwa kuwa chanjo ni "salama".
mimi ndiyo kiboko chako, leta nyoko nakutandika na facts unatapatapa na vijimaneno tu kama kawaida yako kilaza., 😂 😂 😂As mzee wa kichwa ngumu huyo vipi upo.?
Huna fact mzee wangu, we unajifurahishaga tu .. leta tena tushindanishe west land CBD 😂😂😂 na Ubungo tuone ipi inastahili kuwa CBD, west land inapigwa hands downmimi ndiyo kiboko chako, leta nyoko nakutandika na facts unatapatapa na vijimaneno tu kama kawaida yako kilaza., 😂 😂 😂
Weka ubungo yako hapa..., am hereHuna fact mzee wangu, we unajifurahishaga tu .. leta tena tushindanishe west land CBD 😂😂😂 na Ubungo tuone ipi inastahili kuwa CBD, west land inapigwa hands down
Sawa slum boy tumekusikiaMiradi zetu ni nyingi ila huwa hatupendi kuringa. Huwa tunanyamaza tu. Ukitaka kuziona nenda skyscrapercity Kenya section utaziona.
Ubungo eti 😛 😛 😂 😂 😂Hauoni aibu kulinganisha hivyo vitu viwili.? CBD ya gorofa mbili.. 😂😂😂 size yake hii apa 👇 ubungo na haitoboi.. n guess what this is 10km away from CBD View attachment 1965172View attachment 1965173View attachment 1965179
Iwe kwa mkopo au tunanunua maana dozi moja thamani yake ni sh50000 kwa sasa baada ya muda mfupi thamani itakuwa hata sh10000Utaingizwa labda wewe..Onyesha Rais alipolazimishwa kuchukua chanjo kwa mkopo.
Misukule ya mwendazake mna matatizo Sana.
Gdp ya wenyewe wenye kusomba rasilimali zao za mafuta ,ni kama kenya gdp yao 80%inamilikiwa na mzunguWanawekwa juu interms of GDP ushuzi, kuna tofauti kati ya maendeleo ya GDP na maendeleo kwa ujumla wake, hizo figures mara nyingi huwa hazi reflect uhalisia, ndiyo haya tunayoyaona ya Tz na Kenya.
Oya tutafutie mimi sikuiona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Edo kumwembe alipoenda Nigeria kwenye ile game ya Yanga alishangaa sana maisha ya Nigeria, ni uvundo kushoto kulia, mazingira ni ya chooni maeneo mengi.
Yani ukimleta mnigeria Tz kwake ni ulaya ndogo, maisha ni hovyo hovyo mazingira uchafu kila kona, alafu wapo wengi mno, mavibanda kila kona, tafuta ile makala ya Edo ipo humu JF.
Kwa hiyo?Iwe kwa mkopo au tunanunua maana dozi moja thamani yake ni sh50000 kwa sasa baada ya muda mfupi thamani itakuwa hata sh10000
Hivi wanigeria ndiyo waafrica wenye akili finyu sana maana wana gdp kubwa kutokana ma mafuta je wasingekuwa na mafuta aliyao ingekuwaje huwa najiuliza sana ili swali[emoji1787][emoji1787]Hao wako vizuri huwezi ku compare.
Ila SA wamegawanyika Black and white black ni duni sana kinacho ipaisha SA ni white tuKwahiyo unataka kulinganisha SA au Egypt na Kenya au Nigeria?
Hiyo kitu ni kweli kabisa kkoo ndiyo balaa kabisa wageni ni wengi tutakuwa kama south africa wengi wanaishi kinyume na sheria ,kuanzia wakenya waganda nigeria burundi dry rwanda Malawi zambia nk yani ni wengi kweli kweliKuna kitu nime notice, ebhn Dar kwa sasa imekuwa inajazwa na foreigners toka mataifa mbalimbali ya Afrika, wapo wengi mno wamejaza apartments pale kkoo, na ndiyo maana apartments zinainuka kila siku pale kkoo, nangojea picha mpya za New kkoo tustue mbwa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UN hadi Leo imeiweka Qatar katika kundi la developing countriesKilaza tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kaka si ufanye utafiti kabla ya kukurupuka [emoji23] [emoji23] [emoji23]., Qatar has one of the highest human development index in the world, unatuambia nini wewe.., mmezoea kudhalilisha kila kitu, ona sasa., yaani unalazimisha tu ili uonekane umejibu, idiocy on steroids[emoji23] [emoji23] [emoji23] Qatar is a developed country, and is in the first world category., nionyeshe sehemu imesema literacy rate na democracy kama kigezo.., infact Qatar has no issue with such u ignorant., next time try and do thorough research wacha kiherehere mlio nayo., kujifanya mjuaji kumbe empty headed [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Almost vaccines zote against viruses zimetengenezwa kutokana na Genetic materials ya virusi, Hiyo article imezitaja, Sasa unataka nini tena?.Hapana, nimeisoma hiyo paper, walichokiongelea ni kuwa wamefanya few clinical trials na waka suggest kuwa tech hiyo inaweza kutumika baadae lakini haijawahi kuwa approved kutumika kwa masses. Ndiyo maana chanjo za Pfizer na Moderna mwanzoni ziliruhusiwa kwa dharula, kama mRNA ingekuwa imewahi kutumika (nje ya trials) wasingehitaji exeption ya dharula kutoka FDA.
Huu ni upumbaavu sana ndiyo maana renda ilikuwa inafichwa fichwa hii kampuni ichunguzwe kuna mafisadi wanatumika nao hao jamaa
Tena ukizingatia hiyo njia ni kioo kwa taifa [emoji849]very stupidhaijakaa kama ya Tazara