Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona unaniuliza swali kabla ya kunijibu swali langu hapo juu? Wewe umedai kuwa zipo chanjo za mRNA, nikakuuliza nitajie chanjo moja tuu ya mRNA kabla ya hizi za corona, naona unaruka ruka tuu.
Mkuu Ingia hapa mRNA vaccines Ò€” a new era in vaccinology - Nature Reviews Drug Discovery
Wacha kuingia katika field za watu kaka, jaribu kuheshimu professions za watu, Baki katika eneo lako utaheshimika, huku utadhalilika.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hata chanjo ya Corona kabla ya kuchanjwa unauliza, hiyo ni kawaida,
Siyo kweli, kwenye corona hawaulizi, tena walienda mbali (mwanzoni mwa mwaka) kusema antibodies zinapungua haraka. Cha kushangaza studies za sasa kama ile ya Israel na hata UK zinaonesha watu waliopata corona wana kiasi kikubwa cha antibodies, mwaka mmoja baada ya kuugua. Wakati wale waliochanja antibodies zinaisha baada ya miezi michache (ndiyo sababu ya kuletwa "boosters")
ila wewe unalazimisha eti kufanyike serological test, Jambo ambalo halijafanyika duniani na halina maana yoyote.
Naona hunisomi vizuri.

Nilichohoji ni kwa nini hawaruhusu antibody test, ili wale waliopata corona watumie test results hizo kuonesha wanakinga badala ya kuchanja. Sababu ya chanjo si ni kuwa na kinga? Sasa kama mtu teyari anakinga chanjo ya nini?
Kama tatizo ni kuepushe hyper immunity reaction, vipi mtu ambaye alishatengeneza antibodies kutokana na kuugua siku za nyuma akipata maambukizi mapya?.
Tafiti zilizofanywa Israel, nchi ambayo ina asilimia kubwa ya waliochanjwa, zimeonesha kuwa wale waliopata corona (natural immunity) wanauwezo wa kinga mara 13 kuliko wale waliochanjwa.
Hakuna contraindication yoyote ya kutompa mtu chanjo kwasababu tu tayari ametengeneza antibodies.
Hayo ni maneno yako ila CDC ambao ndiyo wanapigia debe chanjo wanasema waliopata corona wanaweza pata strong side effects.

Unafikiri ni kwa nini huwezi kushtaki kama utapata matatizo baada ya chanjo, hasa kwa kuwa chanjo ni "salama".
 
Anae kopa siku zote ni mtumwa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nimeipenda post yako mzee
 
Angalia anavyojipa moyo huyu πŸ‘‡matako

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Njoeni mtembee mjini nyie wapumbavu muone vile dunia ilivyobadilika mwache kukaa porini
Don't say more, utapata ulcers bure, umeumia roho ya kutosha, huu πŸ‘‡ ndio mji ulio badilika eti, sawa kaka, tulia wacha machungu, nimekutoa kamasi kweli hadi matusi yakatoka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , relax πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,



 
Revenue ya hiyo taifa superior??., a rhetoric question, please don't πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,kuwa na siku njema leo kaka.,
 
Wanawekwa juu interms of GDP ushuzi, kuna tofauti kati ya maendeleo ya GDP na maendeleo kwa ujumla wake, hizo figures mara nyingi huwa hazi reflect uhalisia, ndiyo haya tunayoyaona ya Tz na Kenya.
bro, not Tz na Kenya at all, zote are in the same bracket, Tz is even worse usijitekenye., Tz with a GDP 0f $65B na iko na watu fukara wa kutupwa kwa wingi, population kubwa pato kidogo, tofauti iko wapi na Nigeria? Elewa Tanzania, Nigeria, Angola, Ghana, Kenya na SA are in the same bracket as far as GDP is concerned in relation na standards za raiya wake ilivyo, usijaribu kujikweza wewe team Man Useless., ungesema nikama tu kuweka Nigeria vs Mauritius, ama Kenya na Seychelles or Botswana, hizi taifa ndogo flourish kisa small population in relation to the size of GDP,.., uwezi kulinganisha China na Singapore or Qatar., Singapore and Qatar are first world countries, China ni developing, na ni upper middle income., licha ya GDP yao kubwa na ya pili duniani..., jifunze economics, wacha kukurupuka kiushabiki ukitetea Tanzania fukara, jikubalini tu sio dhambi.,
 
Elewa kuna real GDP na fake GDP ya makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…