Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We Jama mjinga Sana! projects are buld for economic impact sio modern or big,,,Sasa unaexpect Tanzania wakijenga cable bridge kubwa Kenya pia inafaa ikuwe na cable brid6 kubwa???and that's why afte using alot of money to build chato international airport sai mnanikia tu mpunga
 
Ona ulivyo boya., sawa kwa raha zako, dunia ni global village, sijaona misuli ya Tanznia kwa huu uwanja wa dunia, kama mtaendelea kuota Kenya kila uchao na fikra zenu duni, eti sisi ni middlemen wazungu wanamiliki mashamba yenu kupitia Kenya, basi mko na matatizo zaidi nilivyokua nadhania πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., yes we are middlemen, tunanunua mazao yenu kutoka kwa wakulima wenu fukara kwa bei nafuu na kuyauza kwa bei ya dunia, yaani juu zaidi kwingine, inaitwa biashara.,
 
Having such does not make you above or superior than several countries who doesn't have exactly the same u idiot πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ na pia zimeongeza revenue kwa taifa kweli?πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚., so u think having such u are above Angola? Ghana? SA? Egypt? Nigeria? Kenya? unaona fikra zako sasa? nilikuambia tafuta wa ku argue na yeye dogo, niwache mimi. ,
 
Mdomo mwingi while ground hakuna kitu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. punguani wewe .. hii inamaanisha kwamba sisi tunajiweza, na ndio mana tunajenga infrastructure za maana, unajua ni pesa ngapi tunaingiza/tutaingiza kupitia hiz miradi bro.? Sisi ni superior ukilinganisha na nyie ,usiitaje SA,Egypt na Nigeria wao wako vizur zaidi na miradi kama yetu wakonayo pia.. nyie wengine ni uchumi uchwara tu
 
Umeongea kwa uchungu sana povu kama lote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia anavyojipa moyo huyu πŸ‘‡matako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Njoeni mtembee mjini nyie wapumbavu muone vile dunia ilivyobadilika mwache kukaa porini
 
Embu mtupie picha ya masoko ya wamachinga yanayojengwa hapo mjini kisutu, kijitonyama magomeni etc bila kusahau ilala ndio aone matumizi ya kodi yetu yanaenda wapi
 
Mlima kilimanjaro upo kenya, njoo kenya upande mlima kilimanjaro, njoo kenya uone serengeti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unataka lingine?
 
Mkuu Nigeria ni propaganda tu haijawahi na haitowahi kuifikia Tz kwa level of development, wao wabaki na GDP ushuzi na ndugu yake wa damu Kenya, but kwenye maendeleo wacha kabisa mkuu.
 

Without widely private investments and coporations ata mjenge kiwanda ya ndege bado mtanikia tu mpungaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Acha upunguani wewe, kwahiyo unataka kusema hiyo miradi haina economic impact.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Au ndio kuchanganyikiwa.? Yani BRT system haina economic impact.? Bus terminals hazina economic impact.? Madaraja tena ndani ya DSM hayana economic impact.? We unafkiria na matako nini.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. au umechanganyikiwa.. The best 007 njoo unisaidie kumtukana huyu mpuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…