diamond d
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 812
- 2,050
We ndugu kuwaga na staha, ukitaka kuusema ubaya wa JPM mzee ongea uwezavyo lkn rudi angalia clips zote za JPM Since Campaigns mpk anakuwa Raisi na mpaka za msiba wake halafu jiskilizie rohoni utakuta unakuja hapa kupost kinyume na ulichokisense rohoni mwako, that's why, tunakuangalia tuuu, kisha tunasema inhiiiiiiii.... Utamkumbuka tu iwe kwa kutaka au la! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji120][emoji120][emoji3]Acha kulia Lia weka hesabu we mbuzi au mwambie huyu hapa chini ajusaidie [emoji116]
View attachment 1963047
View attachment 1963048