Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukichukua idadi ya hio startimes.. active decoders .. it means kuna households 1.9m tayar zinaumeme .. sio?
na hapo kuna wengine hatuna startimes wala zuku.. na pia hapo kuna wengine wana umeme lkn hawana TV.. then anakuja mtu anasema households zenye umeme Tanzania zipo 2.3m
Wakunya hawana akili, hesabu ndogo kama hizi zinawasumbua sn, ni malazy waliozoea kusoma masomo ya arts tu.
 
Naona thamani ya pesa kenya imeshuka sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hee imeshuka tena!!! shilingi ya Tanzania inaenda vizuri kwa sasa, 1$ ilikuwa inanunuliwa sh. 2315 mwezi uliopita, jana imeshuka mpk sh. 2290, wakati bei ya kuuza mwezi uliopita ilikuwa sh. 2339 jana imeshuka mpk sh. 2330 na leo imeshuka tena.

Kuna sababu nyingi zinazosababisha hilo lkn kwa upande wng nalitazama kama kupanda kwa thamani ya Tshs.
 
Wachaneni na Opportunity Cost. ni ninyi ndo mnafanya kumchokoza. Mi nampenda Oppnty Cost, coz yee ni mtanzania msema kweli. na msema kweli siku zote huwa hakubaliki. but yee atazidi kuwatifua na ukweli kila leo, kila uchao
Hujaelewa, huyo co msema kweli bali anachuki binafsi, anachofanya yeye ni kuudhi watu na kuharibu battle, am 100% sure hata nyinyi Wakenya mmegundua kwamba huyo ni mwehu ndio maana huwa hamumsapoti.

Kwa mfano anaweza akamsifia Samia kwa mradi fulani akiona Watz wamekaa kimya na wamefurahi yeye huwa anachukia cz yeye lengo lake ni kumtukana Magufuli tu, so anapoona watu tunapost miradi aliyoanzisha Magu anaumia sana anaona marehemu anafaidi.

Eti mwehu kama huyo anaweka bifu na mtu wa kipekee kama Magu, isitoshe Magu mwenyewe hayupo kwa ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haelewi maana ya household, yeye ametafsiri ni mtu mmoja mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujaelewa, huyo co msema kweli bali anachuki binafsi, anachofanya yeye ni kuudhi watu na kuharibu battle, am 100% sure hata nyinyi Wakenya mmegundua kwamba huyo ni mwehu ndio maana huwa hamumsapoti.

Kwa mfano anaweza akamsifia Samia kwa mradi fulani akiona Watz wamekaa kimya na wamefurahi yeye huwa anachukia cz yeye lengo lake ni kumtukana Magufuli tu, so anapoona watu tunapost miradi aliyoanzisha Magu anaumia sana anaona marehemu anafaidi.

Eti mwehu kama huyo anaweka bifu na mtu wa kipekee kama Magu, isitoshe Magu mwenyewe hayupo kwa ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Well said mkuu ✔️✔️✔️✔️
 
but mie ntazidi kumsapoti Opportny Cost mpaka last!
 
Back
Top Bottom