The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huwa sielewi wakunya wanapojaribu kuji compare na Tz when it comes to kms of paved road, huwa wanatoa wapi ujasiri.
Nangojea Tanroad wa update data zao alafu muone show humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hili suala la kibu hata mim sielew.. uongozi wote upo kimya
Kwani huyu alikuwa raia wa wapi mkuu.hatimae [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Nimetoka Nairobi leo hii miundo mbinu ya barabara wanaitengeza vizuri sana kama Ulaya na US etc hatuwezi kufananisha na vibarabara vya Dar zile overpass zao ni za ukweli hatuwafikii hata kidogo@thebest007 what is this surely [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1960475
Kwani huyu alikuwa raia wa wapi mkuu.
Wazee wa kumpinga Magufuli yn wao huwa hawapendi kuona Tz ikisifiwa cz wanahisi anayesifiwa ni Magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3]Nimetoka Nairobi leo hii miundo mbinu ya barabara wanaitengeza vizuri sana kama Ulaya na US etc hatuwezi kufananisha na vibarabara vya Dar zile overpass zao ni za ukweli hatuwafikii hata kidogo
Jamaa anajaribu kuja kivingine lakini wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anajisahau🤣🤣🤣🤣🤣Ndo uyo uyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli Sana mkuu Wana investment nzuri Sana!Hii team ingeachana na siasa za Simba na Yanga ingefika mbali sn.
Kaja tena kivingine, ngj niendelee kumcheki kabla sijampa block, chuki binafsi zimemkaba mpk anachukia nchi yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa anajaribu kuja kivingine lakini wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anajisahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwani Azam ina siasa za Yanga? Maana simba ni club inaendeshwa ki-professional kama Azam!Hii team ingeachana na siasa za Simba na Yanga ingefika mbali sn.
Premier league ni maigizo tu...kwani Azam ina siasa za Yanga? Maana simba ni club inaendeshwa ki-professional kama Azam!
Kwamba Simba ina uwanja, ina Academy?kwani Azam ina siasa za Yanga? Maana simba ni club inaendeshwa ki-professional kama Azam!
Uyu kolo vipi uyu [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwani Azam ina siasa za Yanga? Maana simba ni club inaendeshwa ki-professional kama Azam!
Yanga haitapewa ubingwa, Yanga itachukua ubingwa cz they deserve more, angalia mpira inaocheza Yanga kwa ss ni tofauti kabisa na timu za vpl, inacheza kibingwa, pasi zinapigwa mpaka nguo zinaungua kwa minyooko ya kipapaa [emoji3][emoji3][emoji3]Premier league ni maigizo tu...
Kuna makundi mawili tu.. pro Simba na pro Yanga... Why ..!? That's debatable. But it has to be for political reasons.. keep a simple arrangement with few variables you can control... Na mwaka huu Yanga lazima Apewe ubingwa... Just wait and see how things will unfold
Hawa watu wanakuanga na excuses za kipuzii sana. Does it means hizi gorofa zetu refu ukanda huu zitaacha kuwa Kenya manake zimejengwa na our able private sector? Kufikiria ni ngumu kwa hawa majirani wetu.And that's why dodoma your "capital city" looks like a battle field!!!!how can a responsible government compete with a private sector?. Eti majengo marefu!jengo refu pekeyake Tanzania ni Mt kilimanjaro...