Nairobi Gossip Club
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 503
- 432
evidence???All your best players hapo Kenya dreams to play at Simba, Yanga or Azam
evidence???All your best players hapo Kenya dreams to play at Simba, Yanga or Azam
Si Azam ni
Kitu najua bora kutoka Azam ni Energy drink...Ingawa kuna wale wanaitumia kama viagra.
View attachment 1960807
Mapesa kama mapesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sawa Bwana Mapesa![]()
I hope wanatengeneza faida Kama banks zetu uko kwenu...Good, that’s one of hundreds of their products.
Wewe nionyeshe towers zozote refu zenye zimejengwa na serikali ya nchi developed duniani nikuonyeshe za kenya. Ni serikali tu kama hyo yenu mgonjwa inaweza fanya hyo. Lakini kwa kujenga madaraja nawapa kongole👍Serikali ya Kenya is just broke,
It can’t build a 10km road without loan or grant.
Huyu ajapata kuona utamu wa hiki kitu😃😃Good, that’s one of hundreds of their products.
bado hawajaamua hao,soccer ni pesa na ukiwa na pesa hakikisha unasajili wachezaji wenye viwango,,Hii team ingeachana na siasa za Simba na Yanga ingefika mbali sn.
Give me more you said allView attachment 1960820
I can give you more if you want
kwani hapo awali alikuwa raia wa wapi?hatimae
Kakwamishwa!bado hawajaamua hao,soccer ni pesa na ukiwa na pesa hakikisha unasajili wachezaji wenye viwango,,
kwa azam fc pesa ipo,tatizo lipo kwenye usajili wa wachezaji,sijajua target ya Bakharesa kupitia hiyo team yake ni nini,aidha kujibrand ama vinginevyo maana kakwama.
Give me more you said all
kabisaKakwamishwa!
Azam aondoe wale wadananda wote pale aajiri professional managers utaona mabadiliko. Ule usimba/uyanga ndio unaoharibu pale.. na kote kwingin
timu zinapandishwa na michango ya hiari zikipata tu udhamini ligi kuu wanakuja wajuaji kuto kariakoo wanaziua... Wanasajili kishkaji kwa kuitana kuja kulipana mishahara... Na sio kuzingatia ubora wusajili na Hilo ndio linamtafuna Mzee Bakhresa... Pale kile ni kisima.. lazima azam ibakie level Fulani Ambayo Inawafanya wao waendelee kuwa relevant... Ikikuwa watakuja wenye uwezo na clearly watatakiwa waondoke...
I don't think they can match the likes of were,injinia Olunga,Origi,wanyama and many moreOkay first admit that those are among your best players.,
We mpunga, shule ulikua unapataga ngapi.? 😂😂😂 Ulikua unamwelewa mwalimu wako darasani kweli.? 😂😂😂..Kwani hzo zenye zipo zilijengwa na pesa ya kitanzania? Mbona unafikiria kama popo? Sisi serikali yetu hiwezi fanya kazi za private sector. Serikali iko na kazi ya kuunda miundo mbinu ambazo zinamfikia kila mkenya kama barabara, meme, hospitali
Kumbe hawa wawili ndio unapiga nayo kelele miiingi nikama team mzima iko uko????Okay first admit that those are among your best players.,
Benki gani kiongozi.?I hope wanatengeneza faida Kama banks zetu uko kwenu...
Huyu alikua backbencher🤣🤣🤣🤣🤣We mpunga, shule ulikua unapataga ngapi.? 😂😂😂 Ulikua unamwelewa mwalimu wako darasani kweli.? 😂😂😂..