Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 525
- 1,424
Wakunya wataumia sana. Msubiri 50 yrs ijayo ndio mtakuwa nayo
Jibu swali, nchi gani inaongoza kwa njaa hadi kupewa chakula cha msaada?
My take:ukipata kenya hapo unitag🤣🤣🤣and bydha am be seeing naijeria in that list and naigeria is 100× better than that shithole country???Jibu swali, nchi gani inaongoza kwa njaa hadi kupewa chakula cha msaada?
Nigeria is 100× than Tz interms of what? Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kulinganisha Nigeria na Tz?My take:ukipata kenya hapo unitagand bydha am be seeing naijeria in that list and naigeria is 100× better than that shithole country???












Upgraded Mogadishu 🚮🚮🚮View attachment 1960506
Wakunya wataumia sana. Msubiri 50 yrs ijayo ndio mtakuwa nayo
Sasa dangote akija kuwekeza huko mnashangilia Kama mechi ya Simba alafu nyuma yake mnasema nchi yenyu ni Bora kuliko kwao🤣🤣🤣akili iko Sawa???Nigeria is 100× than Tz interms of what? Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kulinganisha Nigeria na Tz?![]()
Sasa dangote akija kuwekeza huko mnashangilia Kama mechi ya Simba alafu nyuma yake mnasema nchi yenyu ni Bora kuliko kwaoakili iko Sawa???
Hivi wewe mbona hueleweki?, Dangote na Nigeria Kama nchi vina uhusiano gani?,Sasa dangote akija kuwekeza huko mnashangilia Kama mechi ya Simba alafu nyuma yake mnasema nchi yenyu ni Bora kuliko kwaoakili iko Sawa???
Sasa mbn hujiamini mara ucoment mara ufuteSasa dangote akija kuwekeza huko mnashangilia Kama mechi ya Simba alafu nyuma yake mnasema nchi yenyu ni Bora kuliko kwaoakili iko Sawa???






Aliona ameongea pumba akafuta baada ya kuona amekotiwa akarudisha, huyu mlevi twende nae taratibu chang'aa itamtoka leoHivi wewe mbona hueleweki?, Dangote na Nigeria Kama nchi vina uhusiano gani?,



Tofauti ya Dar na Nairobi, Dar inajengwa miundombinu bora kila pande, Nairobi wanajenga miundombinu ya kusafirisha magari na sio watu, maendeleo ya Nairobi yote yanaelekea eneo moja...View attachment 1960506
Wakunya wataumia sana. Msubiri 50 yrs ijayo ndio mtakuwa nayo
Aisee umeongea point kubwa.Tofauti ya Dar na Nairobi, Dar inajengwa miundombinu bora kila pande, Nairobi wanajenga miundombinu ya kusafirisha magari na sio watu, maendeleo ya Nairobi yote yanaelekea eneo moja...
Ukifika Nairobi inapaonzia Express way na Inapoishia ndio mwanzo na mwisho wa Nairobi..
Dar iko tofauti sana, ilipo ubungo na Linapojengwa Daraja la Salender, Kigamboni na njia inayopita SGR ni mbali sana, lakini kila sehemu kuna miradi mikubwa mikubwa
Nitafanya Survey kwenda kutembea Dodoma
ujenzi ulikuwa bado haujakamilika hauoni juu bado,chini pia kuna mabati
hivi kwa macho yako,unavyoona hapo kwani ujenzi umekamilika?Manze hii ni nini inakaa imechakaa ivi. Imagine this is the best flyover in danganyika.
Compare and contrastView attachment 1960480
nyie si mmezoea kitumia ndegeBenchmark ni hizo tuk tuk inside the most developed city in Tanzaniachaiiii!!!
View attachment 1960498
imekuingia hiyo uwe unatembea na kutoka out ya hicho kijiji chenu chenye pori la akiba,Upgraded Mogadishu![]()
Kwenye kuhamisha magoli hawajambo hasa ukiwakamataHuyu keshakwama, mwingineee![]()


