Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moto kama pasi
1633078314540.jpg
 
Wanajifanya wajuaji Sana hao jamaa
Wameanza kujenga nchi yao kipindi hiko Tanzania ipo busy kusaidia nchi za kusini mwa Africa kupigania uhuru wao halafu tukaanza kujenga nchi yetu juzi tu hapo lakini sasa hivi tunawapumulia visogoni hawaamini wanachokiona

Swali la kujiuliza ni hivi, walikuwa wanajenga nini?

Halafu nimesoma historia mahali kuwa kuna mpigania uhuru mmoja wa kusini mwa Africa alimuomba gari Kenyatta senior ili alitumie kupigania uhuru...kenyatta akamyima gari halafu baada ya hiyo nchi kupata uhuru eti kenyatta senior akaenda kujikomba komba ili afanye biashara na hiyo nchi wtf
 
Mhuu!!! Wakuu hii imetulia mno.

Yaani unatizama picha, just a picture! stress, depression na mauchovu mengine yanaondoka.

Mkuu NDINDA mchango wako kwenye hii thread tunauona 👍🏾

Nawashauri kwenye hiyo coastline wapige landscape ya kibabe. (Edible landscape), wasipatelekeze hivyo hivyo ili kuongeza open areas za kupumzikia.
 
unaakili za mavi ya mbuzi,majanga yanapotokea kama community kusaidiana ni vitu vya kawaida pia haimaanishi kwamba tulishindwa kusolve na hatukuomba mtu msaada na si nyie pekee mlioleta wapo uganda,burundi n.k,, hivyo hata nyie mkipatwa huwa mnapata misaada ni vitu normal
Hiyo ilikua kujipendekeza,hamna cha msaada bro ogopa mkunya sana🙄
 
More than 95% of developed/countries with high quality of standard of living are highly urbanized, and more than 95% of underdeveloped countries are less urbanized, what can you conclude from this scenario?
You can't apply urbanization in Africa with European countries mzeee,,,for example Tanzania or DRC,urbanization happens becouse of poor infrastructure around rural areas and technology.take a look at Tanzania,land size almost twice that of Kenya but your cities and towns are still very slow quality standards compared to Kenya or Rwanda here in East Africa
 
Wameanza kujenga nchi yao kipindi hiko Tanzania ipo busy kusaidia nchi za kusini mwa Africa kupigania uhuru wao halafu tukaanza kujenga nchi yetu juzi tu hapo lakini sasa hivi tunawapumulia visogoni hawaamini wanachokiona

Swali la kujiuliza ni hivi, walikuwa wanajenga nini?

Halafu nimesoma historia mahali kuwa kuna mpigania uhuru mmoja wa kusini mwa Africa alimuomba gari Kenyatta senior ili alitumie kupigania uhuru...kenyatta akamyima gari halafu baada ya hiyo nchi kupata uhuru eti kenyatta senior akaenda kujikomba komba ili afanye biashara na hiyo nchi wtf
Sasa mlikuwa mnapigania Uhuru for countries 100× more developed than Tanzania?? mko na shida kweli😄😄😄no wonder mnajifukiza adi national hospital
 
Sasa mlikuwa mnapigania Uhuru for countries 100× more developed than Tanzania?? mko na shida kwelino wonder mnajifukiza adi national hospital
Wacha upelekewe moto tu humu jamiiforums kwa aina ya huu urukiaji wa comments za watu humu hakika unastahili.
 
Apart from darslam mmejikaza nayo hapa which other town in Tanzania can you even compare to Mombasa or kisumu??
In terms of what!...slums,uchafu, hunger, ukosefu wa maji safi na salama ya kunywa au kwenye nini ?
Embu kuwa specific.
 
Hakuna Cha Moto mzee, that's the reality you mean nothing was happening in Tanzania while you were fighting for ukombozi???
Mlikuwa busy kujenga nchi, hivi ni nini mmejenga maana mbona hamna tofauti yoyote na nchi zingine za Africa?
Tena zingine zimewaacha mbali.
 
Back
Top Bottom