Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,159
- 29,775
Tatizo la wanawake wanasiasa wanadhani wanawake waliopo mitaani ni wajinga wanawake wanataka maendeleo ya nchi ambayo ndiyo ukombozi wa kweli ,hiyo anayo fanya mama ni ujinga mtupu ambao upo kunufaisha wanawake wachache wapigaji kisiasa kwa kupitia migongo ya wanawakeHvi naomba kuuliza wanaposema wanawake wananyimwa haki zao ni kama hazi gani?

