chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,308
- 45,107
Kwahiyo Mungu ni marehemu?Hoja kama hii ni Kielezo tosha kuwa watanzania wengi elimu hawana. Tatizo liko wapi nikimuongelea marehemu? Mnaongea kuhusu Yesu na Mungu kila siku mmeshawahi kuwaona Kwa macho? Kama huwezi kuhumili hoja ya mtu mwingine endelea na mambo unayoweza kuhumili.
Huyo alieharibu pesa yake kukuzungusha kwenye hivyo vyuo huko nje unavyosema umesoma bora hata angezinywea gambe apate vibes
Wewe ulichopata kutoka kwenye elimu yako ni namna ya kutetea mapenzi ya jinsia moja tu sababu ndio kitu naona una interest nacho kubwa sana, umeshapakuliwa sana huko sasa unataka wote tufanane?
