Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

@thebest007 Kama hii akili uko nayo ndio inaweza leta mabadiliko hapa Africa heri tubaki na yao tu😄😄😄,,,nyinyi mbona msitengeneze hiyo matatizo Kisha iwaletee favour 💁💁💁
 
@thebest007 Kama hii akili uko nayo ndio inaweza leta mabadiliko hapa Africa heri tubaki na yao tu,,,nyinyi mbona msitengeneze hiyo matatizo Kisha iwaletee favour
Wenye akili tumeshajua na ndiyo maana tumebaki na misimamo yetu, tunachuja elimu waliyotupatia tunaongezea na elimu za mababu tunakuja na solutions.
 
@thebest007 Kama hii akili uko nayo ndio inaweza leta mabadiliko hapa Africa heri tubaki na yao tu,,,nyinyi mbona msitengeneze hiyo matatizo Kisha iwaletee favour
Na solution yenyewe ni kwamba hakuna the so called democracy duniani rather it still remains on paper.
 
na vile sai mnadungwa chanjo mtu hawezi amini mlikuwa na msimamo hapo hawali😄😄😄,,,last year I remember every Tanzanian was like "mungu ameponya uvimbe kumi na tisa katika nchi yetu"🤣🤣🤣
Wenye akili tumeshajua na ndiyo maana tumebaki na misimamo yetu, tunachuja elimu waliyotupatia tunaongezea na elimu za mababu tunakuja na solutions.
 
Yani unaposema gender inequality unamaanisha nn hasa hapo
Screenshot 2021-09-28 225241.jpg
 
na vile sai mnadungwa chanjo mtu hawezi amini mlikuwa na msimamo hapo hawali,,,last year I remember every Tanzanian was like "mungu ameponya uvimbe kumi na tisa katika nchi yetu"
Watz waliochanjwa hawafiki hata 0.0001% na hawatoongezeka mana cc co mbuzi wa kafara kama Wakenya.
 
Hvi geza naomba nikuulize swali kutokana na maumbile na akili tulizopewa hvi ni kweli mwanaume na mwanamke wanaeza kua na haki sawa?
Huyo kiongozi anayetaka usawa maandiko anayoyaamini yanamkataza kutaka hicho kitu, so anataka kwenda kinyume na Mungu wake? Kitendo cha mwanamke kuzaa tu tayari ni gender inequality, sasa wafanye mpango wanaume nao wazae.
 
Watz waliochanjwa hawafiki hata 0.0001% na hawatoongezeka mana cc co mbuzi wa kafara kama Wakenya.
naskia mlimaliza dozi yote,, mama kaendea ingine USA juzi alafu nyuma yake gwiji boy baada ya kuonja sindano ya kwanza anashauri wanzio wasiende wadungwe😄😄😄.more like a comedy
 
Back
Top Bottom