Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanapanda mazao juu ya flyover
2892870_20210822_172852.jpg
2892868_20210822_173116.jpg
 
Contractors huwa wanakula pesa za bure Kenya, hawamalizi miradi wanaacha ng'ombe zielee juu ya vumbi
2945476_20210928_130639.jpg
 
Kuna yule mbwa alisema ametuma mtu wake aje Dar apige picha chakushangaza mtu mwenyewe ameamua kubaki Dar mana amegundua ni kama peponi kuliko kurudi jehanam ndogo ya duniani
2882852_20210808_162121.jpg
 
Unasema una elimu kubwa wakati 90% ya muda wako unatumia kumzungumzia marehemu, hiyo ni akili au mavi? Una ids nyingi lengo ni kumnanga tu marehemu asieweza hata kuhisi, lengo lako ni kuharibu uzi! Kwani Huwezi kumsifia Samia bila kumzodoa mtu asiekuepo duniani?
Hoja kama hii ni Kielezo tosha kuwa watanzania wengi elimu hawana. Tatizo liko wapi nikimuongelea marehemu? Mnaongea kuhusu Yesu na Mungu kila siku mmeshawahi kuwaona Kwa macho? Kama huwezi kuhumili hoja ya mtu mwingine endelea na mambo unayoweza kuhumili.
 
Hayo ni maoni yako tu Mkuu, hayo maoni yako ndio kipimo tu cha uelewa wako wa mambo, wala sio kipomo cha uelewa, machaguo, au namna wengine wanaona mambo,
Uelewa wako sio kwamba ndio utumike kubenchmark what is right and wrong,
People see things in a different way and there is no right way of seeing things.
Una uhuru wa Kutoa maoni anyway.
You try to show yourself as someone who likes to respect other people’s opinions, but you still won’t respect my opinions. What are you? A hypocrite!
 
Hoja kama hii ni Kielezo tosha kuwa watanzania wengi elimu hawana. Tatizo liko wapi nikimuongelea marehemu? Mnaongea kuhusu Yesu na Mungu kila siku mmeshawahi kuwaona Kwa macho? Kama huwezi kuhumili hoja ya mtu mwingine endelea na mambo unayoweza kuhumili.
Umeona jinsi ulivyokosa nidhamu? Hivi ndivyo msomi anapaswa kuwa? Dah mkuu kama kweli umesoma basi utakuwa mtu mzima sn wewe mana hii elimu yako ni ya zamani mno.
 
Yes kuna Tatizo, inawezekana hata hujui unaongelea nini,

Unaposema una elimu ya juu unamaanisha kwenye area ipi?

Elimu ni neno pana sana it goes far beyond academic excellence. Sijui kama
Vyeti vya Shule karibu kila mtu anavyo, mimi mwenyewe Nina vyeti vya taasisi za juu vya science ambavyo ni very clean, na nina record nzuri ya recognitions kwenye safari yangu ya Shule.
Kufaulu masomo na kuelimika ni vitu viwili tofauti.
Ninasema kuwa elimu yangu ni ya juu kwasababu kwanza nimeipata kutoka kwenye world-renowned universities. Two Ivy league institutions and one top European university. Na hapo sijaongeza vyuo nilivyosoma as part of my study abroad pursuits. Na pia Nimefanya kazi kwenye faculty zilizobobea kwenye filed zao duniani. Haijalishi niseme nilisomea kitu gani chuoni, that alone makes my education of a better quality than yours will ever be. Lakini lengo langu si kufanya comparison ya elimu yangu na yako, even though unanilazimisha nifanye comparison.
 
Unaweza kusoma na usielimike...
don't ever confuse Education with intelligence...Most of the world-renowned innovators who changed the way of living through their innovations hawakwenda shule na wale waliokwenda walikua na Elimu ya kawaida...hi interllectual arrogance ulionesha at your first paragraph inaondoa any good intention or points to follow.
You mean Mark Zuckerberg? World-renowned innovators ambao hawakwenda shule wanatumia talents za watu walioenda shule ku-transform ndoto zao into reality. Elimu siku zote haijawahi kupoteza umuhimu. As I stated before, I did not mean to be arrogant when I made that statement. I only wanted to establish a point that a the lack of a high quality education in Tanzania is the real reason why mass manipulation of political thought exists.
 
Umeona jinsi ulivyokosa nidhamu? Hivi ndivyo msomi anapaswa kuwa? Dah mkuu kama kweli umesoma basi utakuwa mtu mzima sn wewe mana hii elimu yako ni ya zamani mno.
Nidhamu gani nimekosa? This isn’t blasphemy, it’s just the truth. Wewe umeshawahi kumuona Yesu? Hebu Niambie ulimuona lini?
 
Back
Top Bottom