Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee upo wapi? wanawake wangapi wanadhulumiwa mirathi ya waume zao Tanzania? Umiliki ardhi kwa wanawake ukoje in general? Huko Usukumani ukiwa mjane wanakuzushia uchawi na kukuua! Gender inequality ipo and very evident Tanzania na Africa at large!
Hao walioanzisha hayo mambo na yamewashinda, tangu mwaka 1776 hakujawahi kutokea Rais wao akawa mwanamke na hata anaposhinda kama Hilary hapewi itakuwa Tz inayoongozwa na mwanamke?
 
looks beautiful though I don't see the new parliament building there!!!seems an old photo but perhaps am suggesting the green spaces should be protected at all costs
Wakati huo huo hyo green space ikichimbwa pajengwe jengo hao mnakimbilia Jf na twitter "the most beautiful and one of the most impressive in East and Central Africa"
 
Hao walioanzisha hayo mambo na yamewashinda, tangu mwaka 1776 hakujawahi kutokea Rais wao akawa mwanamke na hata anaposhinda kama Hilary hapewi itakuwa Tz inayoongozwa na mwanamke?
kwahiyo unyanyasaji wa wanawake USA ni zaidi ya Tanzania?
 
Wakati huo huo hyo green space ikichimbwa pajengwe jengo hao mnakimbilia Jf na twitter "the most beautiful and one of the most impressive in East and Central AAfri

Wakati huo huo hyo green space ikichimbwa pajengwe jengo hao mnakimbilia Jf na twitter "the most beautiful and one of the most impressive in East and Central Africa"
since when slums ikawa na green spaces according to your shallow arguments💁💁💁
 
Nataka upime na kuona kama upo sahihi!
Mtu mweusi kule US ni mavi, juzi tu hapa kauliwa na polisi kwa kukandamizwa shingo yake mpk kafa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa zaidi ya maigizo tu, wanaua viongozi wa mataifa ili kuchukua mali za nchi nyingine, hawawaheshimu wanawake mpk hivi tunavyoongea, hakuna Rais mwanamke amewahi kuongoza nchi ile na hatotokea kwa vizazi hivi, alafu anatokea mtu anakuambia demokrasia wkt walioanzisha tu wameishindwa.
 
since when slums ikawa na green spaces according to your shallow arguments
Kwani Kenya kuna kitu kinashindikana? Wewe ulikuwa unajua kwamba uko Kenya mnapanda mahindi juu ya flyover
2892870_20210822_172852.jpg
 
Wakenya ndiyo viumbe pekee wapumbavu hapa duniani, angalia huu mtumbwi wamewejaza magali na watu kibao alafu reaction iki take place wanasingizia natural hazards
Screenshot_20210927-210810.jpg
 
Mtu mweusi kule US ni mavi, juzi tu hapa kauliwa na polisi kwa kukandamizwa shingo yake mpk kafa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa zaidi ya maigizo tu, wanaua viongozi wa mataifa ili kuchukua mali za nchi nyingine, hawawaheshimu wanawake mpk hivi tunavyoongea, hakuna Rais mwanamke amewahi kuongoza nchi ile na hatotokea kwa vizazi hivi, alafu anatokea mtu anakuambia demokrasia wkt walioanzisha tu wameishindwa.
So because the west brought Christianity and they now promote many things against the will of God,we should also drop it because they preache what they don't practice???? and you call yourself learned 🚮🚮🚮
 
So because the west brought Christianity and they now promote many things against the will of God,we should also drop it because they preache what they don't practice???? and you call yourself learned
Who brought that phrase "the will of God"
 
Back
Top Bottom