Ninasema kuwa elimu yangu ni ya juu kwasababu kwanza nimeipata kutoka kwenye world-renowned universities. Two Ivy league institutions and one top European university. Na hapo sijaongeza vyuo nilivyosoma as part of my study abroad pursuits. Na pia Nimefanya kazi kwenye faculty zilizobobea kwenye filed zao duniani. Haijalishi niseme nilisomea kitu gani chuoni, that alone makes my education of a better quality than yours will ever be. Lakini lengo langu si kufanya comparison ya elimu yangu na yako, even though unanilazimisha nifanye comparison.