Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Boss ilo jina unalotumia lazima ata ku QUOTE ru ilo dude ni choko la ccm kwenye ile ID yake aliyo sema ilifungiwa alifunguka kuwa yeye ni mtoto mchele mchele, sasa wewe jina unalo tumia lina neno "TOP" ILO NENO LINA MAANA KUBWA KWA MASHOGA KAMA ULIKUWA UJUI ,wakiliona tu hata inbox utafuatwa wanakulilia uwabandue toptorn Opportunity Cost
Dah! Itabidi nibadilishe ID aisee 🤔
 
Hakuna chasiss ya bus iliyokaa juu hivyo peleka upuuzi kibera watakuelewa.
Bwahahaha!!we sema tu hujui
Sasa kwanza unaanzaje kulia na vitu usivyovifahamu..

Yani machungu yenu ni vile tunajiundia body
 
Sio heshima kumwagia mwanamke maji mengi namna hii, hata sheria za kazi serikalini zimeelekeza. Hapo wangeachia maji kidoogo maana akilowana tu watamdhalilisha, By Geza Ulole
Hawa huku mnawasaidiaje wazee wa misifa..maskini wanafunzi
FB_IMG_1632381065733.jpg
 
Duh, Wakulungwa , Barabara ya Obama kutokea Ikulu pale upande wa Baharini hadi Aga Khan ishakua Marked, No noma nadhani ni Barabara nzuri zaidi Bongo. Ntarudi kupiga picha.

Leo nilikua na mtu mzito sijapata nguvu ya kutoa simu na kupiga picha
 
noma sana ninja
 
Back
Top Bottom