RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,890
- 129,942
Hivi ndio vitu tunataka tuone sio Siasa uchwara.
Watatumia lane za kawaida...ikiwa ya BRT itabidi basi lihame lane 3 kutafuta vituo ambavyo viko pembeni..mm naona lane za pembeni ndo zingekuwa za BRT na PSV..cause ziko karbu na vituoKwaiyo ile lane ya katkat ndio itakua ya brt nn![]()
Ndio alikua anatumiwa na wao.Si ajabu Mange alikua analipwa na team ya mkwere
Wakenya oneni sisi watanzania jinsi elimu ilivyotusaidia
![]()
Maybe phase 3Naona hii Nyerere road wameanza kubomoa vibanda.
magu alikuwa raisi wa wasukuma hili halina ubishi, tusio wa kanda ya ziwa hatukuwa na mlezi, neda magufuli, nenda usirudi tena , tuliteseka sana kwa ajili chuki, ukabila, ukanda na ubinafsi wako. Walao sasa wengine tunaanza kuiona nuruKuamini eti Magu alipendwa na wasukuma tu ni kujiumiza kwa stress, jamaa alipendwa nchi nzima na ndiyo sababu viongozi wastaafu baadhi wakaanza kumchukia.
Arafu kwenye ujenzi mpya wa nyerere Road ilitakiwa wajenge barabara nyingine ya muda eneo la reli kuelekea mjini kutokea gongoramboto ili kufanya ujenzi ufanyike vizuri ila kwa hii serikali ya mama sijui kama maoni yenye akili yanafuatwa hapa JFNaona hii Nyerere road wameanza kubomoa vibanda.
Huyu geza sometime huwa nahisi account yake imedukuliwa nini!? 😂😂😂Wee kijana ebu acha kutuharibia huu uzi, huu ujinga mlioanza humu siwezi kuvumilia hata kidogo, wakati tunaanzisha hii Kenyan Sub forum lengo halikuwa ni kutoa matusi na dharau kwa kila post.
With all due respect kindly refrain from these kinds of derogatory posts. Naona na geza nawe umenasa ktkhuu upuuzi pia, hebu ongoza vijana mrudi kwenye mstari.
Boss ilo jina unalotumia lazima ata ku QUOTE tu ilo dude ni choko la ccm kwenye ile ID yake aliyo sema ilifungiwa alifunguka kuwa yeye ni mtoto mchele mchele, sasa wewe jina unalo tumia lina neno "TOP" ILO NENO LINA MAANA KUBWA KWA MASHOGA KAMA ULIKUWA UJUI ,wakiliona tu hata inbox utafuatwa wanakulilia uwabandue toptorn Opportunity CostOya, usiniquote mimi sina muda wa kutosha kubisha na wewe kama umegundua sihangaiki na wewe kabisa
Mimi nimetoka huko, tatizo ni watu wasio na staha kwa Samia ambao wanajipambanua JPM disciples na wamo humu kumtukana mama kama vile hawajazaliwa na mwanamke! mambo hayaendi hivyo nadhani uwaambie pia!Wee kijana ebu acha kutuharibia huu uzi, huu ujinga mlioanza humu siwezi kuvumilia hata kidogo, wakati tunaanzisha hii Kenyan Sub forum lengo halikuwa ni kutoa matusi na dharau kwa kila post.
With all due respect kindly refrain from these kinds of derogatory posts. Naona na geza nawe umenasa ktkhuu upuuzi pia, hebu ongoza vijana mrudi kwenye mstari.
Dishi lingine hiliWewe mbona kutwa kumtukana na kumkashifu Hayati? Kila thread unatukana watu. Una matatizo kichwani sio bure. Napata wasiwasi Moderator wako biased na watu wa mlengo wako vinginevyo ungeshapewa ban. Wewe ndio unaongoza kuharibu hii thread.
Ignored.Dishi lingine hili
😀 Yaani wewe umequote jibu kuuliza swali. Kuna jibu jingine unahitaji?Mitambo kutoka Israel ilishindwa vipi kumnasa? Je kama alikuwa anatumiwa na system? Ukikataliwa na system lazima ukalie kuti kavu.