toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Halafu saizi yupo USA anapiga selfi na mange kimaviGive me a minute kwanza,maana naona kuna inzi za choni zimeingia kwenye huu uzi ,kwani sisi tukimsifu magufuli tumefanya kosa gani hadi tutukanwe na kudaiwa tuna msakama mama [emoji849][emoji849] wakati mama anajichafua yeye mwenyewe kwa akili zake mbovu mfano kuweka tozo za uzarendo kwa masikini huku matajili wakipeta tu ,chanjo za kovidi kakurupuka mwenyewe ,kama nilivyo sema mama anajichafua mwenyewe kwa kuikataa akili na kupractise upuuzi yaani anachuja mbu na kumeza ngamia