Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaha!!we sema tu hujui[emoji1787][emoji1787]
Sasa kwanza unaanzaje kulia na vitu usivyovifahamu..

Yani machungu yenu ni vile tunajiundia body
Usisahau kwamba karibia China inawaninua na kuwafanya kitu mbaya.

Kukopa kutamu ila kukopa hovyo lazima mlie kilio cha mbwa koko 👇

Screenshot_20210923-135532.png


Screenshot_20210923-102546.png
 
Kuna baadhi ya Wakenya wanajifanya Watanzania kwa kumkashifu Magufuli na kumsifia Chief Hangaya na Watanzania wajinga wanaingia kingi.

Wakenya wanafurahia kuona tumepoteza bonge la kingozi na kupata KILAZA.
Naona unapigania Legacy isisahaulike 😃😃..

Chief Hangaya is here to stay till 2030 ,,Ona mambo mazuri ya Madam President 👇





Screenshot_20210923-135618.png


Screenshot_20210923-102207.png


Screenshot_20210923-102248.png


Screenshot_20210923-102350.png
 
Duh, Wakulungwa , Barabara ya Obama kutokea Ikulu pale upande wa Baharini hadi Aga Khan ishakua Marked, No noma nadhani ni Barabara nzuri zaidi Bongo. Ntarudi kupiga picha.

Leo nilikua na mtu mzito sijapata nguvu ya kutoa simu na kupiga picha [emoji1787]
Nilifikiri unajua nikawa nashangaa huleti picha. Kaangalie na Kenyatta ishaungwa na daraja, Toure drive imebaki kuwekwa alama tu
 
You must be very stupid. Keep on being such an idiot.

Kindly, don't quote my posts.
Ukileta upumbavu unataka nani akuchekee? Atakuchekea Mkeo fala wewe na kwa taarifa yako Unajisumbua ,punde ukileta upumbavu wako nitakukoti kuweka sawa na huna cha kunifanya..

Na deal na contents zako si deal na sura yako kima jike wewe.
 
Picha ya mama kwenye Kuta za Jiji la New York 😆😆..

Asiyempenda akajinyonge 👇
 

Attachments

  • VID-20210923-WA0004.mp4
    4.8 MB
Ukileta upumbavu unataka nani akuchekee? Atakuchekea Mkeo fala wewe na kwa taarifa yako Unajisumbua ,punde ukileta upumbavu wako nitakukoti kuweka sawa na huna cha kunifanya..

Na deal na contents zako si deal na sura yako kima jike wewe.
Oya hii sio jukwa la matusi tafadhali sana Moderator sio katika Mila zetu
 
Back
Top Bottom