Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
Thank you.Unajua kwanza kua na maamuzi ya mradi kama huo uliopigwa vita na Dunia nzima ni jambo kubwa sana na kuuanza kwa kutumia pesa za ndani pia ni jambo la kihistoria wakat mwengine ifike hatua tukubali jamaa alikua na maamuzi magumu ndio maana unaona mama kazi yake ni kuendeleza ile miradi yote ya jamaa na sisi hatuna chuki na mama kabisa Hilo lieleweke pia
Jamaa anatatizo flani la ajabu siwezi litaja hapa na kwingineko.
Inasikitisha kumchukia mtu kwa sababu ya mambo yasio asili yetu, yameletwa tu na hao watu ambao ni Wakoloni na kwaajili ya kutucolonize. Wanatuangalia tu tunavyojidiskrimineit wenyewe.
Ngugi wa Thiong'o: "Decolonizing The Mind"
Nimesahau hii: "The Art Of Making A Slave"
Ndipo shida ya jamaa na baadhi ya Mawaziri, Mabalozi, na ex president(s) ilipo.
Hao watu kama wangekua wanathamini or kujali uwepo wa uhalisia wa walichopandikiza vichwani mwa wengi, wasinge thubutu kuanzisha biashara ya utumwa, na kucolozine wengine.
Mfuasi yeyote wa mambo hayo ni MJINGA.

