babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Huwezi kumsifia SSH bila kuandika ujinga?Asante Sana mama,kuna mtu alitaka kutuharibia Nchi.
Au mimi kuandika "Mambo mazuri kwa ajili ya nchi yetu" nimekosea?
Huwezi kumsifia SSH bila kuandika ujinga?Asante Sana mama,kuna mtu alitaka kutuharibia Nchi.
Asante Sana mama,kuna mtu alitaka kutuharibia Nchi.
Wote 2 wako wapi? Acha wafu wazikane wao kwa wao.Mkapa alimtambulisha kipindi hicho kwa ni askari wake wa mwamvuli no 1
quality ya mturuki nimeipenda
wako vizuri sana full qualityKwa kweli YAPI Markez nawakubali sana hasa kwenye suala ujenzi wa reli kwani wanazingatia viwango na quality ya reli za kimataifa. Tatizo lao ni speed ndogo hawako fasta sijui tatizo ni nini. Nilitamani reli yote from Dar to Mwanza wajenge wao. Ngoja tuone wachina kama watajenga kwa viwango vya Yapi Markezi.
ni shidaNakuta pages kibao nadhani labda ni mambo ya maana kumbe ni muendelezo wa siasa za kijinga!
Mbona mnataka kuwa na akili fupi kama wakunya!
Kumbe jibu unalo 😁😁😁😁😁Utalii saizi umeanguka hilo liko wazi,covid ikipungua uta rebound
Hapo hakuna kampuni ya nje,ni muwekezaji mzawa tena mama kwa hicho cha Geita na kile cha Mwanza ni ubia wa serikali na kampuni binafsi.huyo unaesema kaharibu ndo kafanya waje wajenge bongo
Wee kijana ebu acha kutuharibia huu uzi, huu ujinga mlioanza humu siwezi kuvumilia hata kidogo, wakati tunaanzisha hii Kenyan Sub forum lengo halikuwa ni kutoa matusi na dharau kwa kila post.Asante Sana mama,kuna mtu alitaka kutuharibia Nchi.
Aise, unakula nini siku hizi, maana umekuwa mkali sana, siyo kawaida yako. Mimi huyu jamaa posti zake huwa nazipita tuu hata siziangalii.Weka record ya tourism basi tujue umeweka record mpya au ya madini kenge wewe 😆😆 unatuletea chuki za kijinga hapa
Hujui hata viwanda venyewe vilianzishwa na nani hahahahahahahaha😁😁😁😁
Hahaha sina ukali bro 😁😁😁😁😁Aise, unakula nini siku hizi, maana umekuwa mkali sana, siyo kawaida yako.
Hii ni barua aliyoiandikwa Willie Lynch (the making of a slave).Nimesahau hii: "The Art Of Making A Slave"
Wewe mbona kutwa kumtukana na kumkashifu Hayati? Kila thread unatukana watu. Una matatizo kichwani sio bure. Napata wasiwasi Moderator wako biased na watu wa mlengo wako vinginevyo ungeshapewa ban. Wewe ndio unaongoza kuharibu hii thread.Wewe ni WA kupuuzwa,ila watu dizaini yako mnaotumia uhuru wa kujieleza kwenye mitandao vibaya kwa kukashifu na kutukana viongozi mjiandae kisaikolojia.
Onyo limetolewa na PM,Waziri wa mambo ya ndani na WA Habari na teknolojia..
Sheria ya mitandao aliyoasisi mwendazake haijafutwa,ipo nakukumbusha tuu kama mlidhani mliitunga kwa ajili ya Chadema sasa hivi ndio utajua sheria ni msumeno,endelea kutukana Rais..
Dr. Hassan Abbas alienda mpaka site kuangalia maendeleo, ila ilikuwa kabla Magu hajafariki. Dah, na miss sana updates zake Dr. amekuwa kama kuku aliyemwagiwa maji.naona wapo kimya,walishusha vitu kadhaa site kwaajili ya kusawazisha eneo na habari wakatuonyesha ,,na hapo hapo ndipo habari zikaishia
Hawa watu wanachekesha sana. Wakati terminal 3 Magu kamalizia walikuwa wanashinda mitandaoni kupayuka sio mradi wake ni wa JK,Leo mama anamalizia miradi ya JPM all of a sudden ni Yao wote! Hebu tuache Siasa za kinafiki tuendelee na Dar Vs Nai Siasa uchwara ziende jukwaa la Siasa.Wacha maneno ya kijinga ...unaweza niambia kwanin ujenzi wake ulikwama kipindi JK akiwa madarakani?