toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Nature ilivyo ya ajabu, hata waharibu ushahidi namna gani lazima siku ukweli utajitokeza. Unaona jinsi Ukristo ulivyochoma gospel za Maria na kuharibu kila maandiko yake but kila kukicha ukweli unajidhihirisha wenyewe. Achana na nguvu za NatureJuzi alisema kudra za mungu wake ndio zimempa urais, Huwezi kuongea hayo maneno especially mwanamke, kifo cha JPM kina mazonge mengi sana.



