Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What's going on the much reserved Museveni's son? He is now openly supporting Egypt..









 
What's going on the much reserved Museveni's son? He is now openly supporting Egypt..











This museveni son ni mpumbavu sana, apart from being tribal hajui kipi aseme na wapi. Akiwa rais huyu ataingiza nchi kwenye migogoro mikubwa ya kidiplomasia.
 
GDP yetu kiuhalisia kabisa ni Kati ya 100 na 150$ bn
But let it be maana mashindano ni mambo yakizamani, kinachomatter ni Maisha mazuri kwa wananchi
with your small annual revenue collections, uchumi wa 100 t0 150 cannot have such small cash u ignorant, ama haujui mkusanyiko wenu wa mwaka? nchi bado ni fukara wacheni kujitia hamnazo, tembelea data za serikali yenu 😂 , port income ni ndogo, airports revenue small, retail and banking bado ni hafifu, telecommunications way below Kenya etc.., vitu vingi bado mko chini sana, uchumi hauwezi kukidhi mahitaji ya kila siku unaropokwa tu kihisia sio kielimu, ni kiushabiki tu, blind patriotism ni mbaya, jaribu kufanya utafiti kabla ya kukurupuka, hamna jipya Tz., iko wazi uchumi wenu unaeza kuwa even $55B., mapato ya nchi ni dhihirisho na kuna mengi., 😂 😂 😂
 
Beautiful Iringa Town
IMG_2195.jpg

IMG_2192.jpg

IMG_2182.jpg

IMG_2171.jpg

IMG_2180.jpg

IMG_2183.jpg

IMG_2208.jpg

IMG_2178.jpg

IMG_2179.jpg
 
Eti hii ndiyo nchi yenye GDP ya $60bil huwa nacheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1944101View attachment 1944102View attachment 1944103View attachment 1944104View attachment 1944108View attachment 1944109View attachment 1944112View attachment 1944113View attachment 1944114
unajua maana ya $60B wewe? sio vipicha..,ni economic output idiot.., propaganda weka pembeni.., Tz ni Dar na Dar ni Tz, na bado hiyo Dar is poverty 80%., hauwezi kudanganya World Bank, IMF, na akina AFDB na angles za vipicha, hiyo ni ya kupumbaza vilaza kama wewe 😂 😂 ., tunajua mlivyo, hekaya za abunuasi bakisha vijiweni 😂 😂
 
Kwamba hapo sio Tz au ?
refer back to what I posted.., nani kasema sio Tz., hiyo picha inatumika kueneza propaganda eti Dar iko developed, but nikasehemu kadogo sana., on average Dar is underdeveloped, way below Nairobi., hiyo ata an objective person will tell you.,
 
refer back to what I posted.., nani kasema sio Tz., hiyo picha inatumika kueneza propaganda eti Dar iko developed, but nikasehemu kadogo sana., on average Dar is underdeveloped, way below Nairobi., hiyo ata an objective person will tell you.,

Wewe shida yako nini? Kwani hapo si ni Dar au unataka tupost picha za entebe?
 
sasaa Nairobi yenye bus terminal hii unategemea iwe na traffic control system?

Nairobi's Khoja Bus Terminal
BUS-STATION.jpg

Si ungeuliza choo kiko wapi? [emoji3516] [emoji3516] [emoji3516] [emoji3516]


hebu angalia the kind of buses zime-park Morogoro Bus Termianal kwanza! [emoji116] [emoji116]
2935251_IMG_2138.jpg

Hawa watu ni wachafu kuanzia vichwani
 
Back
Top Bottom