Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nani zaidi kati ya yanga na simba
nairobi32.jpg
nairobi33.jpg
nairobi36.jpg
nairobi37.jpg
nairobi34.jpg
nairobi35.jpg
 
Simon, Naton Jr... Stima zimelost nimeona tayari kabla haijafutwa! Poleni, mnatia huruma aisee! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Msingelifuta hiyo post ya sahi 11:00pm kudadadeki!
 
kenya ni moja ya nchi iliyopewa msaada wa covid vaccines na UK.. lkn serikali ya UK imesema nchi zote za Africa raia wake wakitaka kwenda UK watakuwa considered as unvaccinated.. think twice!
hii ni noma chief
 
kenya ni moja ya nchi iliyopewa msaada wa covid vaccines na UK.. lkn serikali ya UK imesema nchi zote za Africa raia wake wakitaka kwenda UK watakuwa considered as unvaccinated.. think twice!
Sasa abari hii kwa ile team vaccination ...watakwambia niuongomanake wakenya wamepewa uchafu cyo vaccine
 
Hivi mama kaenda na dreamliner? Sijaona picha akiwa anaondoka kama kawaida yake.
 
Kupewa msaada wa chanjo haimaanishi nchi za Africa zinaweza dictate UK's terms and conditions about travelling during this period. Wakisema ni hivi, basi ndio hivyo, kama unaona unabaguliwa kivyovyote vile, basi ujijazie mwenyewe. Wale ni wazungu ujue!
Swala cyo rangi wala rules, nikwanin walio chanjwa nje ya UK wawe treated km unvaccinated? Especially those countries which reveive vaccine from them eg KUNYA LAND
 
Swala cyo rangi wala rules, nikwanin walio chanjwa nje ya UK wawe treated km unvaccinated? Especially those countries which reveive vaccine from them eg KUNYA LAND
Na ndo nikasema wale ni wazungu... If you know, you know!
 
kenya ni moja ya nchi iliyopewa msaada wa covid vaccines na UK.. lkn serikali ya UK imesema nchi zote za Africa raia wake wakitaka kwenda UK watakuwa considered as unvaccinated.. think twice!

Hizi nchi mbona zisi-retaliate kwa hawa stupid tories? Waki-impose the same ban kwa UK, wata-lift the ban!
 
Back
Top Bottom