Ndugu zako Utopolo walisajili Manara badala ya wachezaji! Unategemea nn?Dah yn apo ndugu zangu Uto ndio watakaotuangusha.
Mji wenye gated community za kutosha kuliko wowote East and Central Africa, Iyumbu DodomaView attachment 1943810View attachment 1943811View attachment 1943812View attachment 1943813View attachment 1943814View attachment 1943815



A slap in the face 😀vip tena jamani.. jamaa hawataki mama apige utalii US na shopping hata kidogo
but naamin yeye ni special case. sababu atahutubia
omanyala has just ran the 2nd fastest time in the world
and he's just getting started View attachment 1943785
tuendelee tu polepole hivhiv.. baadae waseme inakuaje majamaa bado wana GDP ndogo za 60-65
mambo mazuri kama
Nyerere Power Plant
BRT
SGR ndefu Africa nzima
Bridges (Selandar, Nyerere, Magufuli)
REA
etc
ndo zitawafanya watu wajiulize tunawezaje kufanya haya yote na GDP yetu ndogo ‘60-65’![]()
hawa wazee wa kuweka nchi kwenye takwimu nawalivyokuwa hawajishtukii utashangaa siku za mbeleni Tz ikiwa upper middle income halafu ikiwa na GDP 68mambo mazuri kama
Nyerere Power Plant
BRT
SGR ndefu Africa nzima
Bridges (Selandar, Nyerere, Magufuli)
REA
etc
ndo zitawafanya watu wajiulize tunawezaje kufanya haya yote na GDP yetu ndogo ‘60-65’![]()
hongereni endeleeni kutia bidii kwenye mbio huko ni bora zaidi sana kwenu ila wakimbiaji waambatane na mafanikio ya kiuchumi binafsi wasiishie kukimbia tu bila faida kwa kukosa kipato cha kutosheleza na mwisho wa siku maisha yao wanayoishi yakawa ya kifukaraFor the record, this guy just beat Gatlin, a long Usain Bolt rival..
also Bolt has the world record at 9.58sView attachment 1944061View attachment 1944062
"kukosa kipato cha kutosheleza"? 😂😂😂😂 😂 Unafikiri wanacheza kamare au ni wavuvi wa kambale? 😁hongereni endeleeni kutia bidii kwenye mbio huko ni bora zaidi sana kwenu ila wakimbiaji waambatane na mafanikio ya kiuchumi binafsi wasiishie kukimbia tu bila faida kwa kukosa kipato cha kutosheleza na mwisho wa siku maisha yao wanayoishi yakawa ya kifukara
we nawe unaropoka tu,uwe unasoma na kuelewa kinachomaanishwa"kukosa kipato cha kutosheleza"?![]()
Unafikiri wanacheza kamare au ni wavuvi wa kambale?
![]()






Wakimbiaji wa Kenya ukiacha Kipchoge wengine wote ni maskini."kukosa kipato cha kutosheleza"?![]()
Unafikiri wanacheza kamare au ni wavuvi wa kambale?
![]()
Uzuri nakujua wewe chizi, wacha nikuache ujiliwaze! 🤣 🤣 🤣Wakimbiaji wa Kenya ukiacha Kipchoge wengine wote ni maskini.